allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,322
- 10,887
Aaron Arsenal pande za job leo.
Akakubali kupoteza kwingine.Hizi ninaona ni blah blah tu, liverpool ilibeba epl na ucl ikiwa na kikosi kimoja.
Mi nimeanza kua humu we haupo.Sasa hivi kuna baadhi ya mashabiki wa Arsenal humu ndani mmeanza kua matured na kuanza kujielewa, tatizo kuna mashabiki wengi humu hua hawapendi kabisa kusikia jambo lolote negative kuhusu wachezaji, kocha na timu yote kwa ujumla.
Wao muda wote wanataka kusikia mambo matamu tu na shabiki anaejielewa akijaribu kuzungumza kuhusu uhalisia wa mambo anaanza kushambuliwa kwa matusi, kebehi na kejeli na kuonekana ni mamluki.
Ukienda kwenye majukwaa ya Chelsea, Man United na Liverpool unaona jinsi mashabiki wake walivyo huru kukosoa iwe ni mchezaji, kocha au timu kwa ujumla pasi na kushambuliwa na mashabiki wenzake.
Nyumban tunashambulia Sana ,Arsenal at Emirates Stadium this seasonView attachment 2492591
Sasa unabisha Odegaard siyo winger?Alikataa Partey kusajiliwa Kabla ya AM, lakin kumbuka alimtaka Aouar ,tukamwambia Odegaard Ni AM akabisha,Sana, na Arteta aliwatumia Rowe na odegad Kama AM , je tulinunua AM gan ,mana Huyo Castri alidai Odegaard Ni winger .
Humu Kuna negativity za ajabu sana
Amegoma kuondoka anasubiria offer kutoka BarcaTaarifa kutoka Spain zinasema Arsenal wametaka ku trigger Release clause (€60m) ya Zubimend kutoka Real Sociedad, Lakini Zubimend ameomba amalizie msimu huu ,hataki kuondoka January
Huyu Ni DM wale Kama Bosquet , Barca walimuhitaji Sana June,wakamkosa View attachment 2492587
Naona shabiki wa Man pamoja na kejeli zako zote wiki iliyopita leo unajifanya mshauri.Sasa hivi kuna baadhi ya mashabiki wa Arsenal humu ndani mmeanza kua matured na kuanza kujielewa, tatizo kuna mashabiki wengi humu hua hawapendi kabisa kusikia jambo lolote negative kuhusu wachezaji, kocha na timu yote kwa ujumla.
Wao muda wote wanataka kusikia mambo matamu tu na shabiki anaejielewa akijaribu kuzungumza kuhusu uhalisia wa mambo anaanza kushambuliwa kwa matusi, kebehi na kejeli na kuonekana ni mamluki.
Ukienda kwenye majukwaa ya Chelsea, Man United na Liverpool unaona jinsi mashabiki wake walivyo huru kukosoa iwe ni mchezaji, kocha au timu kwa ujumla pasi na kushambuliwa na mashabiki wenzake.
Odegaard kihalisia sio winga,kafanye homework yako vzr, ndio nyie mliokuwa mwasema Auba Ni winga sababu anachezaga pembeniSasa unabisha Odegaard siyo winger?
Mbona watu wa humu mna drama nyingi?
Nakumbuka nikawa natoa mifano ya wingers ambao wamekua AM, nikatoa mifano ya Midfielders ambao wamekua mabeki.
Nikasema DM kaja ikiwa kuna Xhaka, ingekua sawa kusajili ambaye hatuna.
Mi nilikua hapa naandika day in day out wakati timu ipo shimoni
Ilitakiwa unikute mwaka ule ili tuanze andikiana back to back siku hizi nina mambo mengi mkuu.Odegaard kihalisia sio winga,kafanye homework yako vzr, ndio nyie mliokuwa mwasema Auba Ni winga sababu anachezaga pembeni
Ulikataa kabisa Odegaard sio Am , ukimpigia debe aour Sijui yupo wapi, Lakini Arsenal walimnunua Odegaard Kama Am sio winger na hajawahi kucheza Winga Arsenal ,hata alipotoka kfatilie alicheza mechi ngapi Kama winga, ode ameanza kutumikia National timu ana miaka 16.
Mpo toxic Sana ,mliponda Sana Arteta kumsajili ramsadale ,n.k
Sasa timu inacheza na namba 8 wawili na Huyo Am uliyemtaka Hadi leo hajaletwa ,AM Ni odegad ,hajawahi kuwa Winga asilia ,labda udanganye wasiomjua odegad
Picha za zaman hizi, shaffih anajulikana haipend Arsenal,Haya vijana wenzenu wa hovyohovyo ameswekwa lupango huko kwa kufanya uhaini wa kujitangazia ubingwa pamoja na kughushi kombe la EplView attachment 2492786