Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Polisi nchini Uganda imewakamata jumla ya mashabiki 20 wa klabu ya Arsenal waliokuwa wakisherehekea ushindi wa magoli 3-2 uliyopata timu hiyo dhidi ya Manchester United.

Mashabiki hao 20 walikamatwa kwenye mji wa Jinja kutokana na kusababisha kero kwa kufanya Gwaride mitaani wakisherehekea ushindi huo jana siku ya Jumapili.

Kwa mujibu wa Monitor, Baker Kasule, ni mmoja wa mashabiki wa Arsenal waliokamatwa na polisi amesema kuwa askari wa doria walishuka kwenye gari na kuwataka kuingia. "Sijui tumefanya nini, tulikjuwa tukisherehekea ushindi wetu dhidi ya Manchester United.”

HII INAITWA SHANGILIA USINIGUSEMKOMEEEEE
FB_IMG_1674479730492.jpg
 
Polisi nchini Uganda imewakamata jumla ya mashabiki 20 wa klabu ya Arsenal waliokuwa wakisherehekea ushindi wa magoli 3-2 uliyopata timu hiyo dhidi ya Manchester United.

Mashabiki hao 20 walikamatwa kwenye mji wa Jinja kutokana na kusababisha kero kwa kufanya Gwaride mitaani wakisherehekea ushindi huo jana siku ya Jumapili.

Kwa mujibu wa Monitor, Baker Kasule, ni mmoja wa mashabiki wa Arsenal waliokamatwa na polisi amesema kuwa askari wa doria walishuka kwenye gari na kuwataka kuingia. "Sijui tumefanya nini, tulikjuwa tukisherehekea ushindi wetu dhidi ya Manchester United.”

HII INAITWA SHANGILIA USINIGUSEMKOMEEEEEView attachment 2492830
Mechi imeisha usiku saa 3

Wamekamatwa mchana

Hizi habari mnazitoaga wap
 
I Fabrizio Romano on Ivan Fresneda current situation:

"Arsenal have a chance for sure. Borussia Dortmund are still there, but also other German clubs, I'm told. Situation is open, but I think in 2-3 days it will be clear where Fresneda will play." [House of Champions]
 
Back
Top Bottom