Arsenal ili atafute goli atatoa pasi kwa CB, CB atatoa kwa Full back, FB atarudisha kwa CB au CM kisha watatafutwa wings, wings watarudisha kati na kwa CB au watajaribu kuingia kwenye box.
Prime Liverpool ili itafute goli ilikua Allison anapiga tu kick moja mbele na Salah/ Mane/ Jota/ Firmino wanaukimbilia wanascore. Au Trent atagewa pasi wakati anaipokea anaona kuna forwards wameanza onyesha movements, atapiga long ball moja na goli tayari.
Arsenal tushafungwa hayo magoli na 70% wamefungwa hayo magoli na Liva. Arsenal hatuna Trent wala Kevin so namna yetu ya kutafuta goli ni sahihi, United wanajaribu kutafuta magoli kwa mtindo wa prime Liverpool lakini na wao hawana Trent wala Kevin, ndiyo maana jana ilikua ni kama two clowns fighting, Palace ni wabovu lakini United ni mbovu pia kwakua wao wanaamini long balls ndiyo tiba yao kwa sasa, na kusahau hawana watu wa kuwafanya kua beast.
So what does this mean? We mess with their heads na kuwaachis possession ambayo we know they aint good at or we stay with the ball ila kuhakikisha mid inakua overcrowded na Arsenal players?
Rashford na Martial are overrated, hata Casemiro angekuepo he is just a player in a shitty system, na Ancelotti alisema kudefend ni structure na organization kuliko hata talent ya players na tukiangalia hizi timu mbili we have a better structure.
So hata wangekua na Casemiro watatu their structure is shit na ushindi wa J2 utategemea better structure kuliko kama Casemiro angekuepo au asingekupo.
Arsenal is winning