Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hatuwezi tarajia Palace amshushe morali United. This team is awful siku hizi ina forwards wasiojua kuna kushuti duniani.

Kuna Zaha anaongoza hiyo drama na Mateta, na jamaa kawaweka wote wawili leo.

Either way we are on our own.
 
Ivan Fresneda remember the name unaambiwa ni namba mbil iliyokamilika akiwaa kwenye ulinzi hapitiki akipandisha timu unaweza kudhani ni kingsley coman namna anateleza na chaki

Umri miaka 18

Timu zinazomgombea

Newcastle

Madrid

Juventus

Arsenal

Kuna tetes na Chelsea anamendea
Chelsea ni bendera fata upepo, upepo unapovuma ndipo walipo, ukisikia dili limeiva maybe Frasneda to Madrid na wao wanashusha bid kuhijack the deal as if ni club usiyokuwa na mfumo, yaani kila mchezaji anafit kwenye mfumo wao, mafans utawasikia "ooh wachezaji wa hii timu matakataka" wakati muda wote tajiri miluzi anawaza kuhijack the deal
 
Hawachelewi kutoa sababu.. lakini bado ni wa kufungwa tu, hakuna namna.
Baada ya game ya jana, EtH alihojiwa kuhusu casemiro kumiss mechi ijayo ana maoni gani?
Akajibu last time aliwafunga bila casemiro !

Nyie Kima kifo chenu jumapili kiko palepale, endeleeni tu kujifariji kwa kukosekana uwepo wa Casemero.
Midhali kocha wetu ni Erik Ten Hag kwenye kiungo hata kama atacheza Mpoki kuwafumua kupo palepale, jumapili tunaenda kupiga palepale kwenye mshono.
 
Eti anabeza backline ya Arsenal ,

Hivi kuna backline ngumu kama ya Arsenal ukitoa ya newcastle ?

Kelele zote hizi wanatamba na kaunta ,ambayo anategemewa mtu mmoja Rashford

Tumecheza na spurs wataalamu wa kaunta wana mtu tatu Son Kane na Kulu , na hawakufanya la maana .
Nadhani wanajiamini Kwa sababu inaonekana conversion rate yao ya hizo counters wanazopata ni nzuri. Wanasema wao pass 3 goli. So wanajua wakimpa Rashidi counter moja tu through on goal aatatupia halafu wao wapaki tu basi wasubiri counter ingine.
 
Dah kaunta kwao ni mmoja Rashidi makame, tumecheza na Spurs wana watu zaidi ya watatu wa Kaunta ,
 
Mnajipa moyo sana ,sisi hatuongei sana
Takwimu za Casemiro na Thomas Partey msimu huu kwenye Epl, nani ni mkali zaidi hapo?

THOMAS PARTEY
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 0
Nafasi alizotengeneza: 13
Clean sheets: 8
Tackles: 34
Interception: 17
Clearances: 23
Duels won: 72

CASEMIRO
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 3
Nafasi alizotengeneza: 14
Clean sheets: 5
Tackles: 46
Interception: 18
Clearances: 29
Duels won : 92

Tulivyowagonga round ya kwanza kisingizio chenu kilikua ni Partey, Jumapili tunawagonga tena na huyo Kitchen Party wenu, andaeni mapema kabisa visingizio vya kumlaumu refa safari hii.
 
Tunaweka kumbukumbu ,usije kusema ulikuwa umelewa
 
Sasa huyo kiungo wenu hatakuwepo kwenye mechi ijayo, tutatake control of the midfield...mtaona Cha Moto nakwambia
Takwimu za Casemiro na Thomas Partey msimu huu kwenye Epl, nani ni mkali zaidi hapo?

THOMAS PARTEY
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 0
Nafasi alizotengeneza: 13
Clean sheets: 8
Tackles: 34
Interception: 17
Clearances: 23
Duels won: 72

CASEMIRO
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 3
Nafasi alizotengeneza: 14
Clean sheets: 5
Tackles: 46
Interception: 18
Clearances: 29
Duels won : 92

Tulivyowagonga round ya kwanza kisingizio chenu kilikua ni Partey, Jumapili tunawagonga tena na huyo Kitchen Party wenu, andaeni mapema kabisa visingizio vya kumlaumu refa safari hii.
 
Arsenal ili atafute goli atatoa pasi kwa CB, CB atatoa kwa Full back, FB atarudisha kwa CB au CM kisha watatafutwa wings, wings watarudisha kati na kwa CB au watajaribu kuingia kwenye box.

Prime Liverpool ili itafute goli ilikua Allison anapiga tu kick moja mbele na Salah/ Mane/ Jota/ Firmino wanaukimbilia wanascore. Au Trent atagewa pasi wakati anaipokea anaona kuna forwards wameanza onyesha movements, atapiga long ball moja na goli tayari.

Arsenal tushafungwa hayo magoli na 70% wamefungwa hayo magoli na Liva. Arsenal hatuna Trent wala Kevin so namna yetu ya kutafuta goli ni sahihi, United wanajaribu kutafuta magoli kwa mtindo wa prime Liverpool lakini na wao hawana Trent wala Kevin, ndiyo maana jana ilikua ni kama two clowns fighting, Palace ni wabovu lakini United ni mbovu pia kwakua wao wanaamini long balls ndiyo tiba yao kwa sasa, na kusahau hawana watu wa kuwafanya kua beast.

So what does this mean? We mess with their heads na kuwaachis possession ambayo we know they aint good at or we stay with the ball ila kuhakikisha mid inakua overcrowded na Arsenal players?

Rashford na Martial are overrated, hata Casemiro angekuepo he is just a player in a shitty system, na Ancelotti alisema kudefend ni structure na organization kuliko hata talent ya players na tukiangalia hizi timu mbili we have a better structure.

So hata wangekua na Casemiro watatu their structure is shit na ushindi wa J2 utategemea better structure kuliko kama Casemiro angekuepo au asingekupo.

Arsenal is winning
 
Ila Hawa vichaa tutawapiga mpaka watueleze walitushindaje game ya kwanza Ili nyau wengine wasijaribu kudesa
Lokonga kaka, tusipepese macho

Ukiangalia gem na tot au hata Nyukesto kaunta zao wakipiga unakuta Partey tayari yupo na Saliba na Gab kwenye line moja
 
Takwimu za Casemiro na Thomas Partey msimu huu kwenye Epl, nani ni mkali zaidi hapo?

THOMAS PARTEY
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 0
Nafasi alizotengeneza: 13
Clean sheets: 8
Tackles: 34
Interception: 17
Clearances: 23
Duels won: 72

CASEMIRO
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 3
Nafasi alizotengeneza: 14
Clean sheets: 5
Tackles: 46
Interception: 18
Clearances: 29
Duels won : 92

Tulivyowagonga round ya kwanza kisingizio chenu kilikua ni Partey, Jumapili tunawagonga tena na huyo Kitchen Party wenu, andaeni mapema kabisa visingizio vya kumlaumu refa safari hii.
Sura yako utaiweka wapi j'pili hii ndugu
 
Kocha anaitwa setien, some sort of very good football
 
Back
Top Bottom