Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,844
- 16,298
Ten Hag ndio mrithi halali wa Sir Alex Ferguson, anachokifanya sasa hivi ndio mwendelezo wa pale alipoishia Sir Alex, hivyo mnatakiwa kuwa wavumilivu kama kipindi kile mlichokua mnamvumilia vipigo vya babu.Man utd iliyoisumbua arsenal ni ya sir furgeson tu hawa makocha wengine hamna kitu, tungoje kesho tuone kama huyu ten haag atarudia alichokifanya OT

️
#AFC