Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kwenye kiwanja cha mazoezi na dressing room , Mikel amekuwa akisisitiza IDENTITY ya timu (mpira mzuri)
INTENSITY ya hali ya juu
EPL ya sasa bila kuwa na INTENSITY kushinda mechi ni ngumu sana , Ligi imekuwa ngumu sana tofauti na miaka ya nyuma
SUPPORT YA MASHABIKI
Tunapokuwa uwanja wa Nyumbani , Sapoti ya mashabiki imekuwa kubwa sana,
Gabriel Martinelli anasema " akiwa na mpira kwenye wing , ameshakimbia sana na kuchoka ,anaposikia kelele za mashabiki huwa anaongeza kukimbia , Demand ya ushindi ndani ya Emirates imekuwa kubwa sana...

️
#AFC
Jakub Kiwior wull be watching Arsenal-Man Utd from the stands on Sunday with his close ones and Edu. 
Odegaard -