Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
Now tayari ni official na mimi nliona huko hukoMimi huwa nacheki arsenal.com. nisipo ona huko siamini kitu kwanza😆😆
Now tayari ni official na mimi nliona huko hukoMimi huwa nacheki arsenal.com. nisipo ona huko siamini kitu kwanza😆😆
Arsenal are confident that they can get Declan Rice , who would serve as an immediate rival and long term successor to Thomas Partey and Granit Xhaka
Man u kashapandishiwa Odd 4 , zilikuwa 3 na point kadhaaView attachment 2489705
Vegas betting odds huwa hawakosei katika kupanga odds,kesho arsenal anamaliza game kipindi cha kwanza
El neny has now been offered to the Turkish club Trabzonspor..Ukweli ni kwamba arsenal ni timu ambayo haiaminiki kabisaTatizo kubwa naloliona kwa pundits,football analysts,opponents coaches na some referees, wanaona kama tupo mahali tusipostahili.
Wanaona kama tumechukua nafasi ya mtu au timu fulani and kuna muda hii mentality imetugharimu hasa kwa waamuzi maana wanajikuta wanafanya maamuzi dhidi yetu kama kuturudisha mahali tunakostahili.
Penuts na other pitched decisions zimefanywa dhidi yetu kwa mentality ya "we don't deserve"
Na hili hata kwa mashabiki wa social media platform's hata humu JF linawagharimu saana.
Jamani tunawaambia tu kwamba "we mean businesses"hatushindani na mtu ila we are in our own league fighting our shadow.
,kama last season mlikosa kuingia top four kijinga kabisa ,Kwa kushindwa kushinda game 4 mfululizo za mwisho,Nan awaamini kwenye mbio za ubingwa ambazo mara nyingi zina hitaji W WW back to back ,.!


Arsenal toka mwaka jana ilikuwa kwenye process ,Ukweli ni kwamba arsenal ni timu ambayo haiaminiki kabisa,kama last season mlikosa kuingia top four kijinga kabisa ,Kwa kushindwa kushinda game 4 mfululizo za mwisho,Nan awaamini kwenye mbio za ubingwa ambazo mara nyingi zina hitaji W WW back to back ,.!
inatakiwa mprove na muaminshe watu kuwa mlishaacha ujinga![]()
Wewe ndio huiamini Arsenal.Ukweli ni kwamba arsenal ni timu ambayo haiaminiki kabisa,kama last season mlikosa kuingia top four kijinga kabisa ,Kwa kushindwa kushinda game 4 mfululizo za mwisho,Nan awaamini kwenye mbio za ubingwa ambazo mara nyingi zina hitaji W WW back to back ,.!
inatakiwa mprove na muaminshe watu kuwa mlishaacha ujinga![]()
Umeweka vema sana, hakuna team nyepesi Epl. 2003-2023 ni miaka 20 imepita leo ndiyo tunaona tena kandanda la kuvutia na matokeo tunapata, huo ni Uwekezaji.Anaongea kishabiki, nimeona ameandika Arsenal wanaongoza ligi cuz timu zingine zina form mbaya, United wana form mbaya? City wana form mbaya? Newcastle?
Arsenal/ Barca/ Napoli wote wamepoteza game 1, draw 2, hivyo tungekuwa La liga / serie A bado tungekuwa kileleni.
Kwa nini unalazimisha kutumia maneno "hasa wachezaji watatu wa mbele"?Klopp anamaanisha Liverpool ipo chini sababu ya majeruhi, Arsenal tunastahili kuwa hapo cuz tunacheza vizuri ila Arsenal tungekuwa na majeruhi hasa wachezaji watatu wa mbele tusingekuwa tunaongoza ligi, yupo right. Imagine Arsenal without Saka, Saka is our very important player. Mzigo wa chance creation ulikuwa mgongoni kwa saka kwa miaka mingi till MØ alivyoturn up, hata sasa naamini Saka akiumia tutashake kwenye sekta ya ushambuliaji.
Kwa nini unalazimisha kutumia maneno "hasa wachezaji watatu wa mbele"?
Wachezaji ni wachezaji hata hivyo vilabu vilikuwa vikiongoza ligi sababu Arsenal alikuwa na majeruhi na small squad!
This season so far Partey, Zincheko, Tierney, Tomiyasu, Elneny, Smith Rowe, na Gabriel Jesus wameshakuwa majeruhi, ni majeruhi gani mnataka kuona? watu wakivunjika uti wa mgongo!


umesema ukweli
"Hasa wachezaji watatu wa mbele" kuna mijitu inahoja za hovyo sana. Arsenal kuwa kileleni inawauma sana sana, matokeo yake wanaanza kutafuta sababu, bladifakeni!Kwa nini unalazimisha kutumia maneno "hasa wachezaji watatu wa mbele"?
Wachezaji ni wachezaji hata hivyo vilabu vilikuwa vikiongoza ligi sababu Arsenal alikuwa na majeruhi na small squad!
This season so far Partey, Zincheko, Tierney, Tomiyasu, Elneny, Smith Rowe, na Gabriel Jesus wameshakuwa majeruhi, ni majeruhi gani mnataka kuona? watu wakivunjika uti wa mgongo!