Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi nimemuelewa,tufanye tuna Injuries za wachezaji nane wa kikosi cha kwanza including ile front three yetu je tungeweza kua hapo tulipo kweli huenda labda tungekua kule kule tunapokuaga wa 6,7, hivi!!! Nafikiri hivi
Hatuko nyuma sana, Klopp yeye mwenyewe kaondoka Sadio tu ? Sasa na kwake utoe hao wachezaji nane anaowasema kwetu.
 
Mimi nimemuelewa,tufanye tuna Injuries za wachezaji nane wa kikosi cha kwanza including ile front three yetu je tungeweza kua hapo tulipo kweli huenda labda tungekua kule kule tunapokuaga wa 6,7, hivi!!! Nafikiri hivi

He doesn’t know what he’s talking about. Has he been caught in that situation this season? The answer is no. Yes he has few injuries of his key players but also he has suitable replacement; the depth of his squad and the quality of his bench cannot be compared with Arsenal
 
C
Caro Ancelotti siyo mzuri kulea vipaji.

Kimmich alitaka kufia kwa Carlo na wengine wengi tu.

Kwahiyo siyo ajabu Camavinga kustruggle pale.

Uamuzi ni wake
Camavinga sio kwamba ameshuka kiwango chini ya huyu Don Carlo ila inakuwa kama wanawaonea aibu akina Modric na Kroos kuwakalisha bench dogo acheze first team.
Ni game changer mzuri sana na ile world cup kama asingecheleweshwa kuingia,Argentina walikuwa wanakubali mapema tu.

Ikumbukwe pia yeye na Tchounameni (kama speeling ziko sawa) waliletwa kuwa next generation ya Madrid baada ya Luka na Kroos. Mwenzake imekuwa bahati baada ya Case kutimka.
 
Hatutegemei form mbaya ya mtu, kila mtu ashinde mechi zake ,hiyo ndio EPL ,

Chelsea ,man u ,liverpool wote wamewekeza msimu huu , kama liverpool mmenunua CF kwa €80m ,

Kila mtu ashinde mechi zake, Round ya 2 inakuja ,
Kweli mnafanya vema msimu huu ila muamuzi mzuri kwenye huu msimu ni game zenu mbili dhidi ya Pep,bahati nzuri kwake na mbaya kwenu ile game dhidi ya spurs ni kama imemuamsha sasa.
 
C

Camavinga sio kwamba ameshuka kiwango chini ya huyu Don Carlo ila inakuwa kama wanawaonea aibu akina Modric na Kroos kuwakalisha bench dogo acheze first team.
Ni game changer mzuri sana na ile world cup kama asingecheleweshwa kuingia,Argentina walikuwa wanakubali mapema tu.

Ikumbukwe pia yeye na Tchounameni (kama speeling ziko sawa) waliletwa kuwa next generation ya Madrid baada ya Luka na Kroos. Mwenzake imekuwa bahati baada ya Case kutimka.
Kiwango anacho hiyo ni kweli ila chini ya Carlo ni sahihi zaidi kukutana naye ukiwa tayari kwenye peak kuliko kukutana naye wakati unahitaji kukuzwa.
 
Mimi nimemuelewa,tufanye tuna Injuries za wachezaji nane wa kikosi cha kwanza including ile front three yetu je tungeweza kua hapo tulipo kweli huenda labda tungekua kule kule tunapokuaga wa 6,7, hivi!!! Nafikiri hivi
Kipindi hicho hatukua na majeruhi na tulikua huko nafasi ya 6,7

Kila mechi tunayocheza tunacheza na timu zina majeruhi 8?

Hii liva siyo ilikimbiza kombe bila Virgil? Ikaingia fainali uefa bila Salah.
 
Tukianza kuchambuliana hapa tutakesha

Best teams were Liva na City

Wanakufunga na long balls za Trent na Kevin

Mid ya Liva was strong ikafanya possession iwezekane na weakness ya Trent ijifiche, kwenye uzi wa liva kabla msimu haujaanza niliandika juu ya umri wa wachezaji wao tegemeo na jinsi gani itaathiri.

So kinachotokea kwa Liva was easy to see hata kabla show haijaanza, mid nyanya haizuii tena mipira Trent akaonekana wazi kumbe kukaba hajui. Southgate alikua anamuweka sana bench jamaa na hatukuwahi jua sababu. Pengine alituzidi kwenye hilo.

Liva anafungwa na Brighton na possession ya Brighton ni 64. Juzi Liva anashinda dhidi ya Wolves ana possession 40+.

Wakuu, Klopp hana idea ukitoa long balls za Trent atapataje matokeo. Am simply saying hata Mane angekupo ni kazi bure coz naye ni veteran wa 30 hivi.
 
City Kevin siyo yule vigilant wa miaka yote, una Haaland sawa but Haaland anajua kuscore tu hajui kitu kingine, huweza cheza 1,2 na Haaland, huwezi tarajia Haaland awe na skills za 1 v 1 zaidi ya kukimbia.

City imejikaba ya kwamba scorer ni huyu, kwa Arsenal scoring imegawiwa kwa wote hatuna mchezaji maalumu wa kufunga na hii system inatulipa.

Wakati msimu unaanza hawakusema wako kwenye form mbaya walisema Arsenal anacheza na average teams. Wakadai October ni kipimo, simply kwakua kwenye ratiba alikuepo Liva. Wakati tunacheza na Liva hakukua na hao majeruhi tulicheza na Virgil na Firmino na wakafa.

October ikapita wakadai kombe la dunia ni kipimo, wanatoa visingizio vya kitoto utadhani Arsenal pekee ndiyo wachezaji wake wataenda WC.

And this is us after WC. Dont fall for their shit
 
"Hujacheza na city home and away"

Itafika May ndo wataelewa tunamaanisha business.
 
Kweli mnafanya vema msimu huu ila muamuzi mzuri kwenye huu msimu ni game zenu mbili dhidi ya Pep,bahati nzuri kwake na mbaya kwenu ile game dhidi ya spurs ni kama imemuamsha sasa.
We jamaa bhn, "ile game ya Spurs ni kama imemuamsha" kwa hiyo sisi inatupunguzia nini? au unahisi tuliwapa dawa ya usingizi mlale?
 
Kuna mechi 19 bado, mechi mbili hazikufanyi bingwa. Labda tuseme mechi ya Liverpool (A), Aston Villa(A), M City (A), BHA (H) , M Utd (H).

Kwa Epl kila mechi ni ngumu, shinda kila mechi kwa high performance at the end of the day utakuwa umejiweka kwenye nafasi nzuri.
 
Nyie arsenal ni wachumba tu kwa city ,mtapigika kama mbwa nyie ,

Sijui ni Lin umemfinga city wewe kwenye ligi mwaka wa 7 huu
 
Klopp anamaanisha Liverpool ipo chini sababu ya majeruhi, Arsenal tunastahili kuwa hapo cuz tunacheza vizuri ila Arsenal tungekuwa na majeruhi hasa wachezaji watatu wa mbele tusingekuwa tunaongoza ligi, yupo right. Imagine Arsenal without Saka, Saka is our very important player. Mzigo wa chance creation ulikuwa mgongoni kwa saka kwa miaka mingi till MØ alivyoturn up, hata sasa naamini Saka akiumia tutashake kwenye sekta ya ushambuliaji.
 
City Kevin siyo yule vigilant wa miaka yote, una Haaland sawa but Haaland anajua kuscore tu hajui kitu kingine, huweza cheza 1,2 na Haaland, huwezi tarajia Haaland awe na skills za 1 v 1 zaidi ya kukimbia.

City imejikaba ya kwamba scorer ni huyu, kwa Arsenal scoring imegawiwa kwa wote hatuna mchezaji maalumu wa kufunga na hii system inatulipa.

Wakati msimu unaanza hawakusema wako kwenye form mbaya walisema Arsenal anacheza na average teams. Wakadai October ni kipimo, simply kwakua kwenye ratiba alikuepo Liva. Wakati tunacheza na Liva hakukua na hao majeruhi tulicheza na Virgil na Firmino na wakafa.

October ikapita wakadai kombe la dunia ni kipimo, wanatoa visingizio vya kitoto utadhani Arsenal pekee ndiyo wachezaji wake wataenda WC.

And this is us after WC. Dont fall for their shit
Kelvin De Bruyne toka kwenye WC hakuwa yule mwenye ari ya ushindi. Haaland kwenye mechi na ya Utd ni mipira 12 tu ndiyo iliyomfikia.
 
Kuna mechi 19 bado, mechi mbili hazikufanyi bingwa. Labda tuseme mechi ya Liverpool (A), Aston Villa(A), M City (A), BHA (H) , M Utd (H).

Kwa Epl kila mechi ni ngumu, shinda kila mechi kwa high performance at the end of the day utakuwa umejiweka kwenye nafasi nzuri.
Anaongea kishabiki, nimeona ameandika Arsenal wanaongoza ligi cuz timu zingine zina form mbaya, United wana form mbaya? City wana form mbaya? Newcastle?

Arsenal/ Barca/ Napoli wote wamepoteza game 1, draw 2, hivyo tungekuwa La liga / serie A bado tungekuwa kileleni.
 
Arsenal kuwafinga City wala sio hoja, City wameanza kufungwa na Arsenal toka hujazaliwa, we're the best itw rn, tutakufunga km mbwa koko. Jipange.
Unapata wapi jeuri ya kusema unachukua point 6 Kwa timu ambayo mwaka wa 7 hujawahi kuchukua point hata 3+ ,.....

Mambo mengine mnajitekenya na kucheka tu
 
Siku ya Aaron Arsenal kupotea jf imekalibia round hii hakuna kukimbia mkuu tuachie na namba ya simu kabisa maana tunakujua kwa kukimbia.
20220905_100738.jpg
 
Klopp anamaanisha Liverpool ipo chini sababu ya majeruhi, Arsenal tunastahili kuwa hapo cuz tunacheza vizuri ila Arsenal tungekuwa na majeruhi hasa wachezaji watatu wa mbele tusingekuwa tunaongoza ligi, yupo right. Imagine Arsenal without Saka, Saka is our very important player. Mzigo wa chance creation ulikuwa mgongoni kwa saka kwa miaka mingi till MØ alivyoturn up, hata sasa naamini Saka akiumia tutashake kwenye sekta ya ushambuliaji.
Huyo Klop anaongea vitu vya kufikirika ili nini? Anachnganyikiwa! ?
 
Back
Top Bottom