Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Klopp huwa mtu wa lawama sana,hata akifungwa hakosagi wakumlaumu ,hivi mmemuelewa hapa?

Klopp:

"Arsenal deserve where they are but cut out five players and three of their offensive players, nobody would wonder where they are (in the table)."
 
Kweli kuimba kupokezana,siku hizi hata gooners mnajadili kwa kimombo halafu KOPS wanasema kiswahili tu.

Ila nawashauri punguzeni matumaini ya kuchukua ubingwa maana ndio nusu ya msimu imeisha na hamna gap la point 15-20 dhidi ya timu inayowafukuzia. Sana sana mnategemea form mbaya ya city,united,chelsea,liverpool ili muweze kubeba ubingwa.
 
Hatutegemei form mbaya ya mtu, kila mtu ashinde mechi zake ,hiyo ndio EPL ,

Chelsea ,man u ,liverpool wote wamewekeza msimu huu , kama liverpool mmenunua CF kwa €80m ,

Kila mtu ashinde mechi zake, Round ya 2 inakuja ,
 
Kweli kuimba kupokezana,siku hizi hata gooners mnajadili kwa kimombo halafu KOPS wanasema kiswahili tu.

Ila nawashauri punguzeni matumaini ya kuchukua ubingwa maana ndio nusu ya msimu imeisha na hamna gap la point 15-20 dhidi ya timu inayowafukuzia. Sana sana mnategemea form mbaya ya city,united,chelsea,liverpool ili muweze kubeba ubingwa.
Mbona hata Arsenal tupo kwenye form mbaya
 
Caro Ancelotti siyo mzuri kulea vipaji.

Kimmich alitaka kufia kwa Carlo na wengine wengi tu.

Kwahiyo siyo ajabu Camavinga kustruggle pale.

Uamuzi ni wake
Hata Odegaard aliporud baada ya mkopo wa Arsenal, alimpiga bench sana ,ndio maana akamwambia atafute timu ya kupata nafasi ya kucheza, ikasaidia kumpata kwa £30m

Ni kocha wa Ready made
 
Our home record
IMG_20230120_232918_216.jpg
 
Klopp huwa mtu wa lawama sana,hata akifungwa hakosagi wakumlaumu ,hivi mmemuelewa hapa?

Klopp:

"Arsenal deserve where they are but cut out five players and three of their offensive players, nobody would wonder where they are (in the table)."
Mimi nimemuelewa,tufanye tuna Injuries za wachezaji nane wa kikosi cha kwanza including ile front three yetu je tungeweza kua hapo tulipo kweli huenda labda tungekua kule kule tunapokuaga wa 6,7, hivi!!! Nafikiri hivi
 
Whites - Cedric
Saliba - Holding
Partey - Lokonga
Xaka - Elneny
Gabriel - Tomiyasu
Jesus. - Nketiah
Saka - Nielson
Odegaard - Vieira
 
Klopp huwa mtu wa lawama sana,hata akifungwa hakosagi wakumlaumu ,hivi mmemuelewa hapa?

Klopp:

"Arsenal deserve where they are but cut out five players and three of their offensive players, nobody would wonder where they are (in the table)."
Klopp mapema sana msimu ukiwa unaanza nafikiri tukiwa tunajiandaa kucheza mechi na majogoo. Alizungumzia pia usajili wa Jesus na Zincheko.

"I know City wouldn't have sold him to any club" – Liverpool coach Jurgen Klopp aims cheeky dig at Arsenal over Gabriel Jesus transfer

Hatujazungumziwa muda lakini sasa ni wakati sahihi. Mentality wachezaji wako vizuri huo ni ushindi tosha kwa opponent.
 
Back
Top Bottom