Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mi mwenyewe naona, ila bado tunasubiri credible sources like Fabrizio Romano,James Benge, David ornstein and Di Marzio. Watoe taarifa au updates kuhusu CAMAVINGA ndio tutaamini.
Na kama ikitokea ni kweli, basi aje kama captain America martin odegaard alivyokuja kisha tumsaini jumla summer window. Binafsi nitafurahi mno.
Ishu ya Kiwio sijui kileo haijatoka kwa hao watu uliowataja,ile ya kwanza kabisa yan habari mpyaaaa.
 
Madrid watakubali kumuachia Camavinga kwa mkopo?
Najua kwa sasa Madrid roho inawauma sana kuhusu captain America martin odegaard ukizingatia tulimchukua kwa pesa ndogo sana £30'sM.
Nafkiri wanaweza kutukazia, ila ikitiki na akafanya vizuri kama martin odegaard, itakua ni moja ya sajili bora sana kwetu kwa kipindi cha miaka 10 kutoka 2013.
 
Ishu ya Kiwio sijui kileo haijatoka kwa hao watu uliowataja,ile ya kwanza kabisa yan habari mpyaaaa.
Upo sahihi, imeanzia Poland

Halafu kama ume note kitu, hata habari ya Trossard ,Fabrizio kapewa Information deal limeshakamilika ,kumbe deal liliisha masaa 24 ,

Kuna harufu watu wa Arsenal wana wasiwasi na hawa Waandishi wa habari ,
 
Najua kwa sasa Madrid roho inawauma sana kuhusu captain America martin odegaard ukizingatia tulimchukua kwa pesa ndogo sana £30'sM.
Nafkiri wanaweza kutukazia, ila ikitiki na akafanya vizuri kama martin odegaard, itakua ni moja ya sajili bora sana kwetu kwa kipindi cha miaka 10 kutoka 2013.
Huyu watamtoa kwa mkopo, tulimtaka kipind kile kabla hajaenda Madrid , tukamkosa
 
IIt
Mimi nasema hivi

Dili la Mudryk lilikua ni kanyaboya ili kuzuia tajiri miluzi na wenzake wasiingilie madili ya msingi.

Nipinge
Itakuwa tuliwataka wote na Edu akaenda Poland Kwa wote. Sema tu sisi tunapenda usiri na shaktar wakafanya uhuni Kwa kutangaza mipango yetu. Tulivyoona uhuni umezidi tukaachana nao ila Edu hakwenda Poland kiboya. It was business as usual hata bosi miluzi na wafuasi wake walivyokuwa wakisherekea kutumyang'anya tonge mdomoni.
 
Hana namba na yeye anataka muda wakucheza ,ndio najiuliza ,hata akija Arsenal ,bado sion akianza mbele ya Xhaka ,

Bado atabaki sub tu

Japo Arteta anamuona kama Sub ya muda mfupi ya Partey

Lakini bado sion na Arsenal akipata dakika ,kama ndio kinamkimbiza madrid
Ni kweli kabisa.
Lakini ukiangalia vizuri kwenye hizi mechi 19 tulizocheza EPL mpka sasa utagundua kuna muda kikosi chetu kinakosa options za kufanya sub pindi ile first eleven yetu ikiwa uwanjani na kuna muda unaona game haiendi.
Mfano mzuri ni game yetu na Newcastle, tulihitaji kufanya super sub ili kupata matokeo lakini waliokuwepo benchi unawaza ataingia nani kwenda kukamilisha unfinished business?? Huoni mtu. Hivyo usajili wa trosaard na kiungo mmoja yeyote atakayeletwa ndani ya siku hizi kadhaa ni wa muhimu mno kuliko kitu chochote, kwasababu now tunaingia kwenye round ya pili ya msimu na kamanavyojua EPL is remaining as EPL until the last 90 minutes of the last game otherwise nothing is concluded by now.
So far tupo kwenye motion nzuri na tunaenda vema, tuzidi kuomba mambo yende vizuri na tusipate majeruhi hususani ya watu muhimu kama the backbone of our team THOMAS PARTEY we will die sooner if not soon. Vipara (pep&ten)bado na wanapiga mahesabu makali sana.
 
Nikweli ,
 
Upo sahihi, imeanzia Poland

Halafu kama ume note kitu, hata habari ya Trossard ,Fabrizio kapewa Information deal limeshakamilika ,kumbe deal liliisha masaa 24 ,

Kuna harufu watu wa Arsenal wana wasiwasi na hawa Waandishi wa habari ,
Of course yes, maana agents and journalists wana uwezo wa kushirikiana na kufanya dili ziwe za moto sana na bei juu kuliko uhalisia.

Kwahiyo edu na Mikel bravo to them kwa kuja na mkakati mpya wa ghafla sana kwenye deals za kina Trosaard, kiwior,na frassneda. Ni kimyakimya na hazichukui siku nyingi then boooom.
 
Simmon collings mbona huyu ni Reliable kwa habari za Arsenal ,anatokea Standard sport

Yupo pale kwa habari za Arsenal ,

Ninachojiuliza Kinachotaka kumtoa madrid si hapati muda wakucheza

Swali, Kwa Arsenal ndio atapata muda ? Au kashagombana na Don Carlo...
Kutakuwa ni misunderstanding... ila furaha kwetu akija kwa mkopo.
 
Screenshot_20230120-212238~2.jpg
 
Back
Top Bottom