THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,226
- 2,025
1. Sergej Milinković-SavićAtamalizia na kiungo mmoja CM,
2. Youri Tielemans
3. Declan Rice ❓
1. Sergej Milinković-SavićAtamalizia na kiungo mmoja CM,
Haya ndo mambo haya.
Mbona huyu na sisi tulikuwa tunamtaka?BREAKING:
Arsenal have practically closed a deal for Real Valladolid right-back Ivan Fresneda. Mikel Arteta personally convinced the player to join.#AFC
(via @eldesmarque)
Ni sahihi Mkuu, ila ni ukweli usiopingika kuwa Mashabiki wengi wa Man city na Chelsea wametokana na mwenendo mbovu wa Arsenal yetu miaka 7-10 iliyopita.Kuadmire team haina maana ni mshabiki, Naipenda Real Madrid pia ila sio shabiki. Mimi ni The Blue ndani nje
Unakamata Nicolo Barella unaweka hapo katiAtamalizia na kiungo mmoja CM,
Mimi huwa nacheki arsenal.com. nisipo ona huko siamini kitu kwanza![]()
Hamjaweka nguvu, si mpo kwa Dumfres?Mbona huyu na sisi tulikuwa tunamtaka?
Huyu bado simuamini ana damu ya chelseaNa Declan Rice mmetenga pesa, aisee tutapambana ile mbaya, tabidi tubebe UEFA maana Rice anataka UEFA
Mikel Arteta:Ongeza na Ivan Fressneda hapoBen White can play RB, CB & CDM
Tomiyasu can play RB, CB & LB
Jacob Kiwior can play LB, CB & CDM
Kwani tayari?Ongeza na Ivan Fressneda hapo
Kwa mtazamo wangu binafsi, ningeshauri tusajili Milinkovic-Savic-DM na Youri Tielemans-CM dirisha hili hili kwasababu wanapatikana kwa bei nzuri tu1. Sergej Milinković-Savić
2. Youri Tielemans
3. Declan Rice![]()
Deal lipo hatua nzuri sana.Kwani tayari?
Huu ni ukweli usiopingika kabisaMimi nasema hivi
Dili la Mudryk lilikua ni kanyaboya ili kuzuia tajiri miluzi na wenzake wasiingilie madili ya msingi.
Nipinge
Hivi mzee Paulo Kagamee pale Kigali anasemaje so far, maana ni mtata sana.@LTrossard -
“I’m really excited to see the fans in the stadium. I hope I can give you my all. I want to try and create as many magic moments as possible, and hopefully we can celebrate together.”
(Arsenal)View attachment 2489122
Na yeye Muddy Hana furaha hapo Chelshit.Mimi nasema hivi
Dili la Mudryk lilikua ni kanyaboya ili kuzuia tajiri miluzi na wenzake wasiingilie madili ya msingi.
Nipinge
Huyu sina shaka! Hii ni karata dume.Mwamba anasema yeye ni mbaya sana kwenye tight space anaweza kuipa team ushindi kwenye mechi/mazingira magumu
Anaweza kupiga na miguu yote na ni mzuri 1 vs 1,
Jamaa ana confidence hatar anajipakulia minyama tu View attachment 2489219