Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,227
- 76,750
Trossard ana miaka 28Namba zake pale Brighton zinambeba
Tatizo labda umri ,kwa project yetu ilikuwa hawanunui zaidi ya 25yrs
Huyu ana 28yrs
Mitoma ana umri mdogo, tatizo kumtoa pale january hii NGUMU ...
Ila namba zake brighton zinatisha , anacheza pia False 9, hivo tutakuwa tumepata backup 2 kwa wakati mmoja
Hutakuja kumuuza kwa pesa kubwa huko baadaye.
Hatoimprove zaidi ya tunavyomuona pale.
Hizi ni transfers ambazo hua zinafanywa na Chelsea na United.
Tukiwa na project endelevu tunataka kuifanya na sisi.
Kuna sehemu tunateleza.