Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal ili atafute goli atatoa pasi kwa CB, CB atatoa kwa Full back, FB atarudisha kwa CB au CM kisha watatafutwa wings, wings watarudisha kati na kwa CB au watajaribu kuingia kwenye box.

Prime Liverpool ili itafute goli ilikua Allison anapiga tu kick moja mbele na Salah/ Mane/ Jota/ Firmino wanaukimbilia wanascore. Au Trent atagewa pasi wakati anaipokea anaona kuna forwards wameanza onyesha movements, atapiga long ball moja na goli tayari.

Arsenal tushafungwa hayo magoli na 70% wamefungwa hayo magoli na Liva. Arsenal hatuna Trent wala Kevin so namna yetu ya kutafuta goli ni sahihi, United wanajaribu kutafuta magoli kwa mtindo wa prime Liverpool lakini na wao hawana Trent wala Kevin, ndiyo maana jana ilikua ni kama two clowns fighting, Palace ni wabovu lakini United ni mbovu pia kwakua wao wanaamini long balls ndiyo tiba yao kwa sasa, na kusahau hawana watu wa kuwafanya kua beast.

So what does this mean? We mess with their heads na kuwaachis possession ambayo we know they aint good at or we stay with the ball ila kuhakikisha mid inakua overcrowded na Arsenal players?

Rashford na Martial are overrated, hata Casemiro angekuepo he is just a player in a shitty system, na Ancelotti alisema kudefend ni structure na organization kuliko hata talent ya players na tukiangalia hizi timu mbili we have a better structure.

So hata wangekua na Casemiro watatu their structure is shit na ushindi wa J2 utategemea better structure kuliko kama Casemiro angekuepo au asingekupo.

Arsenal is winning
United haina shitty structure, united ina shitty players, im assuring you Ten hag atakuwa mpinzani wetu mkubwa coming the next season, why? cuz he gives his team the possible chance of winning matches, ten hag has a top structure unlike Graham potter, so akifanya right signings in the upcoming window he gonna be there with us.
 
Takwimu za Casemiro na Thomas Partey msimu huu kwenye Epl, nani ni mkali zaidi hapo?

THOMAS PARTEY
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 0
Nafasi alizotengeneza: 13
Clean sheets: 8
Tackles: 34
Interception: 17
Clearances: 23
Duels won: 72

CASEMIRO
Michezo: 15
Mabao: 2
Assist: 3
Nafasi alizotengeneza: 14
Clean sheets: 5
Tackles: 46
Interception: 18
Clearances: 29
Duels won : 92

Tulivyowagonga round ya kwanza kisingizio chenu kilikua ni Partey, Jumapili tunawagonga tena na huyo Kitchen Party wenu, andaeni mapema kabisa visingizio vya kumlaumu refa safari hii.
Partey anacheza kwenye possession based team unlike Casemiro ambaye timu yake ina Sit off all the time, takwimu zako ilibidi kuincorporate vigezo km pass attempted, pass completion, progressive passes, expected Assists, passing accuracy etc cuz wote ni holding mid, wanazuia, kusaidia kuunda mashambulizi. Mi imani yangu inaniambia Casemiro ni tradional dm kama Ngolo Kante.
 
[emoji599]Arsenal in advanced negotiations for Trossard. Personal terms not an issue

(@FabrizioRomano)
28/29 years ,,,,,

Ni mchezaji mzuri Sana mkimpata, namuona Kama hazard flan unyumbulikaji wake ,,,,

Tatizo moja tu, ana ukirusi flani ambao anaweza kuharibu dressing room, ana tabia za ki-pogba/rabiot n.k! Pengine MA ajitahidi kum_shape!
 
United haina shitty structure, united ina shitty players, im assuring you Ten hag atakuwa mpinzani wetu mkubwa coming the next season, why? cuz he gives his team the possible chance of winning matches, ten hag has a top structure unlike Graham potter, so akifanya right signings in the upcoming window he gonna be there with us.
Shitty players siyo wote. Hata shitty players wakiwa kwenye structure nzuri hua wanaonekana wako on fire.

Erik is good in decision making, tactically naona hana ubaya niliokua naufikiria lakini hana uzuri ambayo mashabiki wa United wanaamini anao.

Amekuja pale, ametaka Casemiro, Anthony, Malacia, Martinez wasainiwe na wamesainiwa. Juzi kataka Weghorst asainiwe na amesainiwa. Right signings gani zingine zije?
 
28/29 years ,,,,,

Ni mchezaji mzuri Sana mkimpata, namuona Kama hazard flan unyumbulikaji wake ,,,,

Tatizo moja tu, ana ukirusi flani ambao anaweza kuharibu dressing room, ana tabia za ki-pogba/rabiot n.k! Pengine MA ajitahidi kum_shape!
Ana 28 , naona anakuja kwa ajili ya short term plan, baada ya Usajili ambao ulikuwa kipaumbele cha klabu Mudrky kukwama
 
Kwangu mimi Trossard ni wa kawaida.
Namba zake pale Brighton zinambeba

Tatizo labda umri ,kwa project yetu ilikuwa hawanunui zaidi ya 25yrs

Huyu ana 28yrs

Mitoma ana umri mdogo, tatizo kumtoa pale january hii NGUMU ...

Ila namba zake brighton zinatisha , anacheza pia False 9, hivo tutakuwa tumepata backup 2 kwa wakati mmoja
 
Charles Watt - Arsenal Goal correspondant

Trossard makes sense to me. As @FabrizioRomano called, talks with Brighton open, but still early days. No official bid yet.

Would arrive PL ready, can play across the front line, scores goals, good technique. Only turned 28 last month so not exactly old. All depends on price.
 
Kama umri wake umeenda na tabia yake si nzuri, je ni Kwa Nini tunamtaka trossard?
 
28/29 years ,,,,,

Ni mchezaji mzuri Sana mkimpata, namuona Kama hazard flan unyumbulikaji wake ,,,,

Tatizo moja tu, ana ukirusi flani ambao anaweza kuharibu dressing room, ana tabia za ki-pogba/rabiot n.k! Pengine MA ajitahidi kum_shape!
For this case, bila ya kuangalia umri, tunahitaji mchezaji kama Trossard kwa ajili ya kukamilisha project.

A 28 yrs ana more than 5 yrs kucheza kwenye soka la ushindani. Pia amesha prove kwenye PL.

Kama huu usajili utakamilika, basi utanikumbusha pale tulipotaka kumsajili Lisandro akaenda Man Utd kisha tukabahatika kumpata Zinchenko ambae ameprove kwenye EPL, more versatile, multiple positions na kwa pesa ndogo kuliko ile tuloweka kwa Lisandro.

Tumemkosa Mudryk kwa €100 mil na sasa anatarajiwa kuja Trossard ambae nategemea atakuja kwa pesa ndogo zaidi isiyozidi £30 mil na vile vile tayari ameshaprove kwenye EPL. Also he can play in multiple positions.
 
Kama umri wake umeenda na tabia yake si nzuri, je ni Kwa Nini tunamtaka trossard?
Katimiza 28 yrs juzi, hivo ana miaka 3-4 ya kucheza

Aligombana na kocha wake ,anataka kuuzwa

Spurs walituma ofa ya £12m juzi imekataliwa

Je anafaa au hafai ?
 
Shitty players siyo wote. Hata shitty players wakiwa kwenye structure nzuri hua wanaonekana wako on fire.

Erik is good in decision making, tactically naona hana ubaya niliokua naufikiria lakini hana uzuri ambayo mashabiki wa United wanaamini anao.

Amekuja pale, ametaka Casemiro, Anthony, Malacia, Martinez wasainiwe na wamesainiwa. Juzi kataka Weghorst asainiwe na amesainiwa. Right signings gani zingine zije?
"Shitty players wakiwa kwenye good structure wanaonekana onfire", BIG YES, but the method isn't sustainable, Man utd wapo top four sababu ya muundo mzuri wa kiuchezaji wa timu, hivyo utashinda baadhi ya mechi na zingine utadondosha points kwa kukosa right profile.
 
More on Trossard deal scoop. Been told tslks are very advanced as Arsenal are prepared to close the deal in the next hours. Not early stages but progressing fast for permanent move. [emoji836]️[emoji837] #AFC

Full agreement reached on personal terms, it will be long-term contract for Trossard.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom