Mtampata mchezaji bora kuliko Mudryk, dunia ni kubwa, wachezaji wako wengi tu. poleni sanaKile kikao alichoenda London ,kilimaliza kila Kitu, ndio maana Shakhtar wakawa hawatusikilizi,
Ila poa acha maisha yaendelee
Raphina ana end product mbovu SanaIla niwatahadharishe, Raphina hakuna mchezaji pale
Yeye yuko vizuri kwenye kushoot na kutoa krosi basi. Hawezi kudrible kabisa. kwa hiyo kama mnamtaka mtu wa kufunga nje ya 18, kupiga free kicks na kona na krosi zingine huyo anawafaa
Je mfumo wa Arteta unamuhitaji mtu kama huyo?
Barca mfumo umemtema chini, nilisema hiki kitu wakati Barca wanahijack hili dilikuwa mchezaji kama Raphina hafai uchezaji wa Barca na City
Anyway anaweza kufaa Arteta style kwa sababu Arteta anafundhsha "TOTAL FOOTBAL" ambayo Raphina ndiko anafit zaidi
Huu mfumo Leeds ndio walikuwa wanatumia na ndio maana Raphina akavuma. Arsenal na ninyi mnacheza kama Leeds ya wakati ule wa Marcelo Biesla
Thuram msiende huko msije mkaongeza maumivu juu ya jeraha. Hatuko tayari kukuzika bana, hata kama tunabishana kwenye football, tunakujali Aaron ArsenalOption zilizopo sokoni za haraka
Trossard 27yrs
Thuram
Raphina barca wamemuweka sokoni
Kolo Muani
Thuram msiende huko msije mkaongeza maumivu juu ya jeraha. Hatuko tayari kukuzika bana, hata kama tunabishana kwenye football, tunakujali Aaron Arsenal
Thuram na Noni Madueke tuko kwenye hatua za mwishoni kabisaOption zilizopo sokoni za haraka
Trossard 27yrs
Thuram
Raphina barca wamemuweka sokoni
Kolo Muani
Hata Abramovich alikuwa anafanya hivyosi mpo kwa Nodi mukiele ?
Nyie jamaa mnazingua Sasa,nasikia Kuna beki ipo Sporting ,Spurs anajiandaa kumbeba , mnataka ku hijack
Ila Toddy hizi hela anatoa wapi?
Pep miaka Saba katumia €1B
Toddy miez 6 €500m na anasema hapo Bado
Kwa navyofahamu ni kwamba Mudryk alifikia hatua hii baada ya offer ya Chelsea kukubaliwa na ile ya Arsenal kutokukubaliwa.Mtampata mchezaji bora kuliko Mudryk, dunia ni kubwa, wachezaji wako wengi tu. poleni sana
Ila tukija hapo Emirate msitupige mawe tu
DuhThuram na Noni Madueke tuko kwenye hatua za mwishoni kabisa
Na hawa wachezaji tunawataka January hii kwa udi na uvumba ili watuwezesha hata kucheza Europa
Huyu Toddy kazidi, na amevunja Rekodi za dunia ,Kwanza hafanyi negotiationHata Abramovich alikuwa anafanya hivyo
Tajiri wa timu anaweza kuikopesha timu halafu inalipa kwa installment kidogo kidogo ili isikiuke taratibu za FFP
Anaitwa Noni Madueke huyo pamoaja na Marcus Thuram majadilinao yako kwenye hatua za mwishoni kabisa
Mkuu waonee huruma, maana Wana maumivu sana kwa uhuni waliofanyiwa na majirani wao wa London.Arsenal inapigwa leo na dunia yote ina furaha
Iyo bahati mbaya kwa nani?Bahati mbaya Mudryk, Felix, Madieke na Thuram watakuwepo kule mbele
Mbona Zinny tulimnyakua kimya kimya tunashindwaje sasahivi kusaka mtu na kumaliza deal bila kelele?Raphina ana end product mbovu Sana
Hizi Tetes zenyewe sidhani Kama Zina ukweli
Ndio maana ana namba ndogo Sana za magoli Barca , timu ya Taifa pia end product ZERO .
Huyo jamaa ni wa kupiga spana mapema sana. Otherwise tutasafa..Huyu Toddy kazidi, na amevunja Rekodi za dunia ,Kwanza hafanyi negotiation
Abromovich ,hata Perez hawakuwahi kuwa na fujo Hivi kwenye transfer, Roman hajawahi kutumia dirisha moja €250m Kama nipo sawa, Ni msimu ule aliompa Lampard ndio alifika €230m .
Hata Pep hajawahi kufika €250m + dirisha moja ,
Huyu Toddy summer kaweka rekod €300m , hii January anakimbilia €200m+
FFP kazi yake nini
Ndio muda wwa kukaza kubeba kombe, unadhani msimu ujao wwapinzani wetu watakuwa lonya lonya tena?Malengo yanapangwa majira ya usajiri wa joto hapa january ni niongeza tuu kwa depth ya kikosi chetu tulijipanga top 4 ila timu yetu ime click kwa haraka na timu zengine zime underperform
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app