🤣🤣🤣 Ombeni tu tushindeChelsea ikifungwa leo nafikiri Enzo atatafutwa kwa nguvu zote
Kushinda mnaweza ila siyo uhakika 100%🤣🤣🤣 Ombeni tu tushinde
mkorea ubora wa Mudryk upoje,? Mimi simfahamu anacheza nafasi gani maana kuna wengine wanasema anacheza winger na wengine wanasema ni kiungo mshambuliaji which in which au anacheza nafasi zote mbili je kama ni hivyo ipi ni best kwake?Labda Chelsea wanatafuta first 11, wameona reasonable kutoa 100m
Ila backup ya saka/martinel hauweze kutoa huo mzigo, labda 60-70m
Saka, saliba, martinel hawa pia inabidi wajeku-renew mikataba
Lazima ucheze vizuri na wage structure
Mshahara utakao mlipa mudryk ambae anaikuta arsenal iliyopambaniwa na hao wapambanaji
Hao wapambanaji lazima na wao wata-demand pesa kubwa sana. Na watakua sahihi
Kuna unafuu sana kumkosa mudryk kuliko kumpata
NB
Mudryk ni bonge moja la player
kwa historia yetu na wao kwao, sina matumaini ya ushindi kivile. pia naamini kuna juhudi za FA kuturudisha nyuma hivyo najua watatutafutia namna tufunwe leo.Kwa leo Spurs katuzidi sehemu mbili kwa kipa na ST. With Kane wana experienced ST kuliko sisi na Nketiah na kwangu Lloris is a better keeper than Aaron. Also Kulusevski is a genius, pace, tech na skills vyote anavyo.
Ila we have good defense, in form wings na mid nzuri. So we have a chance hapa. Spurs bado wana style yao moja ya kucheza ya counter, long balls na through balls kama kikosi ni hichi Winks hatokuepo so thru balls zinaweza zisiwe nyingi sana.
White hatatakiwa kupanda sana na kujisahau kwakua hana pace ya kumatch na Son, formation ya Spurs ni vulnerable kwa wings na forwards zenye pace na tunao hao wachezaji.
Recently tukicheza na Spurs kane amegewa penati hapa na pale, Gabriel aache mapepe.
Hata hivyo natamani tusicheze 4 3 3 turudie 4 2 3 1 kwaajili ya hii mechi. Timu yenye njaa ndiyo itanyanyuka na points tatu leo
Ama tucheze nao kama dhidi ya Brightonkwa historia yetu na wao kwao, sina matumaini ya ushindi kivile. pia naamini kuna juhudi za FA kuturudisha nyuma hivyo najua watatutafutia namna tufunwe leo.
Lloris Ni old fashioned GK, hata Spurs Wana mpango wakumuacha mwisho wa msimu,Kwa leo Spurs katuzidi sehemu mbili kwa kipa na ST. With Kane wana experienced ST kuliko sisi na Nketiah na kwangu Lloris is a better keeper than Aaron. Also Kulusevski is a genius, pace, tech na skills vyote anavyo.
Ila we have good defense, in form wings na mid nzuri. So we have a chance hapa. Spurs bado wana style yao moja ya kucheza ya counter, long balls na through balls kama kikosi ni hichi Winks hatokuepo so thru balls zinaweza zisiwe nyingi sana.
White hatatakiwa kupanda sana na kujisahau kwakua hana pace ya kumatch na Son, formation ya Spurs ni vulnerable kwa wings na forwards zenye pace na tunao hao wachezaji.
Recently tukicheza na Spurs kane amegewa penati hapa na pale, Gabriel aache mapepe.
Hata hivyo natamani tusicheze 4 3 3 turudie 4 2 3 1 kwaajili ya hii mechi. Timu yenye njaa ndiyo itanyanyuka na points tatu leo
Kwani huyo player ubora wake ukoje? Na anacheza nafasi gani mbona nimemcheki youtube anacheza zaidi kwenye kiungo mshambuliaji kuliko winger mnavyosema?Transfer fee arsenal alifika had package ya €95m pungufu 5 ya Chelsea
Tatizo kwenye mshahara Chelsea ndipo walipomzuzua ,£40-60k per week hii alikubaliana na Arsenal
Chelsea wakampa £160-200k per week
Ni kina Raphina ,kounde ,Jesus ndio walikataa mishahara mikubwa Chelsea alipo hijack deals
Kwa Arsenal hapo siwalaumu ,Ni ngumu Tena Sana Kama Bado hujawa proven kiasi kikubwa ,uje uanze na £160-200k
Nina hasira sana, uhuni mliotofutanyia haukubalikimkorea ubora wa Mudryk upoje,? Mimi simfahamu anacheza nafasi gani maana kuna wengine wanasema anacheza winger na wengine wanasema ni kiungo mshambuliaji which in which au anacheza nafasi zote mbili je kama ni hivyo ipi ni best kwake?
Shakhtar Ni timu ya kaunta Sana ,ndio maana unamuona Kama Kiungo, Mudrky ana Tabia ya kuchukua mpira chini kwenye kiungo,na kwenda nao mbele , nafasi yake Ni Left wingerKwani huyo player ubora wake ukoje? Na anacheza nafasi gani mbona nimemcheki youtube anacheza zaidi kwenye kiungo mshambuliaji kuliko winger mnavyosema?
FactKushinda mnaweza ila siyo uhakika 100%
Mnanikumbusha misimu miwili nyuma ya Arsenal. Tunamiliki mpira, tunasogea mbele ila magoli hatupati kwakua hatukua na AM. Ilikua tukipigwa 1 ndoto za kurudisha zinafutika.
Kwa huyu beki wenu Chalobah sioni kama mna ujanja huo
Chelsea wametufanyia uhuni mkubwa, ila Shakhtar ndio waliweka ugumu mkubwa Sana ,Poleni Sana Gunners !!!! Chelsea wamewasuprise,,,,
Boss miluzi yeye anasajili tu ! .
Trossad wa Brighton hawezi kuwafaa,,, ? Hazard type player,,,anawezaku-offer vitu vingi !
Ana mgogoro na kocha wake, pelekeni mzigo ,!
Epl Ni ngumu , hamuwezi shinda na kikosi hiki hiki,,,mnahitaji back up za maana, sio kina viera, Sambi na eleneny !!
Championship ya UEFA au?Ngoja tusubiri tuone , ila msije jikuta championship
@HENRY14 ni miongoni mwa mashabiki wachache sana wa Arsenal wanaojielewa, huyu jamaa hata mkitofautiana mtazamo hua anatumia lugha ya kistaarabu kukujibu na kutetea hoja zake.HENRY14 umeongea kama mshabiki wa mpira wafundishe mashabiki wenzako namna ya kuanalyse mpira
Sasa chelsea wamehamia kwa Antonio wa Westham utd watasajili dunia hawa
Ni kweli mkuu,,,dogo anaubonda haswa,,,wachA tuone EPL itamfaa ?Chelsea wametufanyia uhuni mkubwa, ila Shakhtar ndio waliweka ugumu mkubwa Sana ,
Nobody's knows tomorrow but Mudrky hiki ni kipaji , ....labda yakamkute yaliyomkuta Felix ATM au yanayomkuta Ziyech na Kai pale Chelsea