Naimani umesoma na post ya Aaron Arsenal hapo juuinasemekana katika personal terms, angeanza na mshahara wa 60k p/w hivi halafu ataanza kuongezewa mwaka kesho kulingana na performance. alikuwa amekubali maana kwao anapata kama 13k p/w. hivyo mshahara haukuwa tatizo. transfer fee ya timu yake ndiyo ilikuwa shida kuu.
Transfer fee arsenal alifika had package ya β¬95m pungufu 5 ya Chelseainasemekana katika personal terms, angeanza na mshahara wa 60k p/w hivi halafu ataanza kuongezewa mwaka kesho kulingaa na performance. alikuwa amekubali maana kwao anapata kama 13k p/w. hivyo mshahara haukuwa tatizo. transfer fee ya timu yake ndiyo ilikuwa shida kuu.
inavyo onekana hatutataka kumuuza na yeye hatataka kuondoka, haswa tukipata mafanikio kiasi.Hili deal la Mudryk kwenda kwa Chelsea likimalizika litanifanya nianze kuiona thamani halisi ya Saka. Huyu dogo thamani yake sio chini ya Β£250mil at current market price. Hakuna namna inabidi tukomae asign da ting on table ASAP coz ndani ya miaka 2 mbele nauona mpunga mzuri tunaopiga kwake.
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Acha aende tu mkuuKwa Chelsea huyu siyo mchezaji wa kwanza kumtolea kibunda ni utamaduni wao.
Mfano wa mwisho kabisa ni Lukaku. 100M kisha anakuambia hatamani kua Chelsea akarudi Inter.
City ilikua inamtaka Cucurella, Chelsea stepped in wakaover offer City ikakaa kushoto. City is second.
Mudryk sijawahi muona akicheza lakini nimepita sehemu nikakuta wanamfananisha na Kvicha (Chelsea inamtaka Kvicha pia) wakaconclude Mudryk ni mzuri kwenye transitional football kuliko possession football. So Mudryk anaifaa ligi ya EPL kuliko Kvicha.
So in theory Chelsea imepata mchezaji mzuri, but in practice tuna Auba, Lukaku, Sterling, Havertz, Ziyech, ambao ilitakiwa wawe wazuri pia.
Kwenye pages za Chelsea wakishamaliza kuandika Arsenal in the mud wanaandika kwamba wao wanahitaji mid kuliko forwards coz forwards wapo wengi tu.
Ofa ya Arsenal ilikua 95M, klabu isingeshindwa kumuachia mchezaji considering ndipo alikua anataka kwenda kisa pungufu ya 5M. Fabrizio anasema kwamba Rais wa Shakhtar alimuambia dogo kwamba usipoenda Chelsea hatukuuzi kwingine kokote.
Ila swali langu kwenu. Unagewa mkataba wa miaka 5 na mshahara wa 127K kwa wiki na unagewa mkataba wa miaka 7 mshahara wa 200K kwa wiki wewe ungeenda wapi?
Shakhtar toka kitambo walionesha wanatukazia , Ofa yetu wakawa hawaitolei majibuKwa Chelsea huyu siyo mchezaji wa kwanza kumtolea kibunda ni utamaduni wao.
Mfano wa mwisho kabisa ni Lukaku. 100M kisha anakuambia hatamani kua Chelsea akarudi Inter.
City ilikua inamtaka Cucurella, Chelsea stepped in wakaover offer City ikakaa kushoto. City is second.
Mudryk sijawahi muona akicheza lakini nimepita sehemu nikakuta wanamfananisha na Kvicha (Chelsea inamtaka Kvicha pia) wakaconclude Mudryk ni mzuri kwenye transitional football kuliko possession football. So Mudryk anaifaa ligi ya EPL kuliko Kvicha.
So in theory Chelsea imepata mchezaji mzuri, but in practice tuna Auba, Lukaku, Sterling, Havertz, Ziyech, ambao ilitakiwa wawe wazuri pia.
Kwenye pages za Chelsea wakishamaliza kuandika Arsenal in the mud wanaandika kwamba wao wanahitaji mid kuliko forwards coz forwards wapo wengi tu.
Ofa ya Arsenal ilikua 95M, klabu isingeshindwa kumuachia mchezaji considering ndipo alikua anataka kwenda kisa pungufu ya 5M. Fabrizio anasema kwamba Rais wa Shakhtar alimuambia dogo kwamba usipoenda Chelsea hatukuuzi kwingine kokote.
Ila swali langu kwenu. Unagewa mkataba wa miaka 5 na mshahara wa 127K kwa wiki na unagewa mkataba wa miaka 7 mshahara wa 200K kwa wiki wewe ungeenda wapi?
nilikuwa sijaiona post yake. tusineongeza hata senti kwa shaktar ππ na kama dogo anaenda kula 200 chelsea aisee acha aende kwa baraka zote akale jasho lake. fursa kali hiyo na maisha yenyewe ndiyo haya haya.
Kweli Tuangalie leoWakuu hebu tuijadili gemu ya leo na Spursy, nini kitafanyika kuwashona hawa ili kuongeza wigo wa points kileleni
Hamna hela ninyi tengenezeni kwanza mvuto timu iwashawishi wachezaji kujaKumbuka tulipomkosa Martinez ,tulimpata Zinchenko
Kwa hili siwalaumu bodi ,Tulifika Hadi β¬95m ,Lakini inaonekana Shakhtar hawakutaka kutupa mchezaji ,wakafanya mazungumzo ya Siri na Chelsea
Ndio maana toka jana Wakaanza kutu joke
Huyu saka hajafika hata thamani ya Pepe yule mlipgwa na lile π€£π€£π€£π€£Hili deal la Mudryk kwenda kwa Chelsea likimalizika litanifanya nianze kuiona thamani halisi ya Saka. Huyu dogo thamani yake sio chini ya Β£250mil at current market price. Hakuna namna inabidi tukomae asign da ting on table ASAP coz ndani ya miaka 2 mbele nauona mpunga mzuri tunaopiga kwake.
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
π€£π€£π€£π€£π€£Aaron Arsenal yuko wapi na simulizi zake za mudryk
Unapata wapi nguvu ya kubwabwaja Wakati timu yako itakuwa championship msimu ujaoHamna hela ninyi tengenezeni kwanza mvuto timu iwashawishi wachezaji kuja
Ndio Ubingwa wenu msimu huuNyie
mulikuwa munatowa ngapi vile
Mumeumia sana kumkosa huyu dogo
Punguza makasiriko mkuu πππ ndio kwanza January badoPale Chelsea kwa mpira wao ataenda kuflop, swala la muda tu
hivi hakuna kijana aina ya eden hazard wa chelsea sokoni kwa sasa? naona type hiyo ndiyo inafaa kucheza nafasi za saka na martinelli akipumzika mmoja wapo na ku link na ode na vieiraAcha aende tu mkuu
Options za winger bado zipo nyingi sana sokoni
HENRY14 umeongea kama mshabiki wa mpira wafundishe mashabiki wenzako namna ya kuanalyse mpiraSiwezi kusema ataflop au kumwombea hivyo. Kumbuka pale darajani Kuna bonge la project linajengwa. Atakuwa na kina Nkunku na wengine kama 50 hivi so atakuwa katika kikosi kizuri ambacho kikikaa sawa uwanjani kitasumbua sana. Kwa sasa wako katika transition period hivyo hatuwezi kuwajudge Kwa performance za hivi karibuni. Wapate muda wa tulie wajijenge wataonesha uwezo wao.
Subiri tukamilishe kazi ya kusuka kikosi chetu ..nyie wa kutegemea kikosi kimoja itabidi mutupishe π€£π€£π€£Unapata wapi nguvu ya kubwabwaja Wakati timu yako itakuwa championship msimu ujao
Yale mazungumzo ya kumsajili Hazard yaliishia wapi. Raphina naye mmeanza mazungumzohivi hakuna kijana aina ya eden hazard wa chelsea sokoni kwa sasa? naona type hiyo ndiyo inafaa kucheza nafasi za saka na martinelli akipumzika mmoja wapo na ku link na ode na vieira