computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Hatukufanya usajili na leo tupo europaMid ndiyo ilituua
Sema hata kuchoka, misuli itaanza kukaza, watalegea moja baada ya mwingine. Deep squad ni factor mojawapo kwa ubingwa wa EPLHakuna cha mchakato wala nini that's is stupid excuse tuna squad yenye nguvu ila benchi la kifala na tuseme kuwa hao 11 players watacheza bila injuries up to June haiwezekani last year top 4 ilikosekanika sababu ya haya haya
Aisee hizi negotiations zimechukua wiki almost 2 haziishi tu. Imetupotezea muda hata wa kufuatilia wachezaji wengine. Timu inabidi ifanye maamuzi magumu maana kukosa back up kwenye wings ama forward inaweza amua kama tutabeba ubingwa au lah.Ngoja tuone labda kuna best option zingine zipo, nahis saiv Edu na wenzake watakua wameamka kuhusu kuchelewesha deal, kama timu haieleweki kukuuzia mchezaj achana nao basi
Yule Guimaraes wa Newcastle alikua 40M Arsenal tukaona ubahili lakini yule ndiyo ilibidi awe anampa presha Partey ya kuperform.Hatukufanya usajili na leo tupo europa
Nakumbuka huyo one week ago alinibishia kwamba Mudryk anaipenda Arsenal hawezi kwenda Chelsea, haya sasaAaron Arsenal kakimbizwa hospitali presha ilishuka ghafla akadondoka chini na kupoteza fahamu, kilichompata Manara Dubai kwa mke wake wa pili ndio hichohicho kimempata ndugu yetu Aaron Arsenal kwa Mudryk, kikubwa tumuombee tu dua apone haraka ila mtihani anaoupitia ni mzito sana tusitegemee kumuona humu ndani ya kipindi kifupi.View attachment 2481427
Hizi Kima tayari zimeshapigwa na kitu kizito, na kesho Spurs wanaenda kugongelea kitu kizito kingine.Mara paa mudrky to Chelsea ,,,,
Unaambiwa Chelsea wamesubmit 100m na shaktar wamekubali,,,,,
Bado kuafikiana na mchezaji tu,,,, as anaprefer zaidi arsenal, cku hizi mpira Ni pesa, mapenzi pembeni !
Arsenal mmesubmit 70m plus 25 to 30m adds on, alafu mnajadili hio adds on ilipwe kwa awamu,,,,wao Chelsea wanatoa 100m cash ,,,,
dah mmemfukuzia hii window yote alafu itokee mumkose !
Aliyeenda ni mwingine kabisa wacheni kutokwa na mapovuAmepanick, kila mchezaji anamtaka
Yeye ndo scout, yeye ndo sporting director
Dirisha kubwa katumia £300M kasajili mabeki ambao ni uchochoro tu, kwenye ligi wana goal difference ya sifuri
Tayari au hujui namana ya kufutaAkija Chelsea huyu dogo, nafuta app ya Jamii Forums.. siingii tena!
Screenshot hii if possible, for your own reference.
Enzo tulitoa 100M ikakataliwaBoehly-Eghbal ni wajinga sana, unakataa kutoa 100M kwa enzo na kutafuta cover ya james unaenda kubid 100 kwa player ambae yuko desperate kujiunga na team nyingine. Ni ukos3fu wa akili.
Sajili kiungo na rb huko ndio kunashida sana
Waache recruitment team ifanye kazi yake
Inasikitisha sana sorry to say this now tunafuraha kuwa top katika EPL nikajua tupo serious na hali hii tutafanya register za maana kuongeza nguvu kwenye benchi letu but bila bilaYule Guimaraes wa Newcastle alikua 40M Arsenal tukaona ubahili lakini yule ndiyo ilibidi awe anampa presha Partey ya kuperform.
Na hata leo tukisajili mid mkali na wing average mmoja mi sina tatizo
Acha kudanganya wewe, waache kuisajili washuke darajaLiva wasidhani wakisajili sana itasaidia. Chelsea ni uthibitisho kua signings hazitakutoa hapo ulipo
Tulitakiwa tuongeze at list 2 players na wote wamechukuliwa na rival tuna strong 11 squad akiumia mmoja wapo hata top 4 itakuwa rehani
Arsenal hatujafeli malengo..msimu huu malengo ni top 4 ila timu za title contender zime underperform wametutamanisha ubingwa ndio kinachotokeaAkili ndio zinaanza kurudi, miaka yote kinacho wafelisha Arsenal kinaanzia kwenye dirisha la usajili.
Wachezaji wa eftatu tatu hawawezi kuwafikisha popote.
Malengo yanapangwa majira ya usajiri wa joto hapa january ni niongeza tuu kwa depth ya kikosi chetu tulijipanga top 4 ila timu yetu ime click kwa haraka na timu zengine zime underperformAkili ndio zinaanza kurudi, miaka yote kinacho wafelisha Arsenal kinaanzia kwenye dirisha la usajili.
Wachezaji wa eftatu tatu hawawezi kuwafikisha popote.
Mkuu mimi binafsi nakuhakikishia kwa kikosi chenu hiki bila kuongeza wachezaji wa maana kwenye dirisha hili la usajili hio top 4 hamtoboi.Arsenal hatujafeli malengo..msimu huu malengo ni top 4 ila timu za title contender zime underperform wametutamanisha ubingwa ndio kinachotokea
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Akija Chelsea huyu dogo, nafuta app ya Jamii Forums.. siingii tena!
Screenshot hii if possible, for your own reference.
Kikosi chetu sisi kidogo sana nakubaliana nawewe maana hata ile mechi ya Newcastle nje tulikua na Elneny,Tieney,Tomiyasu,Holding,Vieira,Lokonga... yani kwa kuangalia hamna wakubadilisha matokeo! Ila kwa upande wa pili mpira nao una mambo yake maana aliumia Partey hadi anarudi mmetufunga nyie tuu tena kwa mbinu mbinu tuu na mlituheshimu hamkutaka kushindana nasisi ila sasa wakati tupo full kikosi tumeshindwa kumfunga SOTON ambayo inaburuza mkia, umeona mpira jinsi ulivyo? na ndio sababu tunaupenda sana mpira wa miguu maana kuna mda haukupi unachofikiria,kwaio kumbe Lokonga huyu huyu alijitahidi kwenye baadhi ya mechi pia Arsenal msimu huu uzuri wetu tumechukua points sana kwenye hizi average timu kitu ambacho timu kubwa kimewashinda,Mkuu mimi binafsi nakuhakikishia kwa kikosi chenu hiki bila kuongeza wachezaji wa maana kwenye dirisha hili la usajili hio top 4 hamtoboi.