Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Tumetumia zaidi ya miaka 10 kumsubiri mpinzani wa kweli wa Lionel Messi katika kinyang'anyiro cha tuzo ya Ballon D'or.Hakuna kitu kama hicho.
Hakuna timu ambayo hatuipendi kama Man Utd thus tutakua upande wa City na sababu kubwa ni kwamba mnajiona kama mshakaa vizuri kumbe mna safari ndefu, yani ushindi dhidi ya bottom teams ndo umewapa jeuri.
Tena kwa kuwasifia wachezaji wenu ndo mnaongoza. Leo hii mnakufuru kwa kusema Casemiro ndo best holding midfielder EPL kweli? Eti Rashford ndio top scorer wa mashindano.. dah!
Hii ni kufuru hii.
Na mnaenda mbali zaidi kwa kusema mnataka ubingwa!!
Timu ile ndo ya kugombania ubingwa kweli!
Asante sana mkombozi Marcus Rashford, unayoyafanya sasa hayawezekani kwa mwanadamu mwengine wa kawaida ingawa Arsenyani kila siku kabla ya kulala wanakuombea dua mbaya uvunjike miguu yote miwili uwe unatembelea magongo.