Makocha waliotupa shida msimu huu kwangu ni watatu tu.
Eddie howe, kublock spaces vizuri, interception, kuwa aggressive enough off the ball na kutunyima time on ball.
Jerse Marsch, structure nzuri ya kupress ikiwa na intensity ndani yake, ikatunyima time on ball, flexibility, fluidity, uzuri hii mechi tulishinda ila game ilikuwa tough mno.
De zerbi, huyu kwangu ndio the best, namna alikuwa ana bypass press yetu nilishindwa kuelewa anafanyaje, jamaa anajua tactic, hakuna timu imeweza kubeat press yetu reliably km de zerbi alikuwa anafanya, inshort anajua. Nimeona Liverpool ya klopp pale emirates msimu huu ikishindwa kufanya build up dhidi yetu till wanapiga long kicks ila si Brighton ya huyu mwamba.