Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Newcastle lazima akubali leo kukaa nyumaNewcastle wanapress 433 narrow block km liverpool ila FBs wao hawaendi kusaidia press wanabaki chini, wings zao zinapress CBs maanake FBs wetu wanabaki free na ndio maana naona Zinny ni vizuri aanze na naamini Eddie howe asipochange approach yake tukiwa na mpira Zinny atacheza sn kwenye midfield kuoverload, sasa Zinny ukimpa time on ball what next?? Newcastle kitachowabail out leo ni physicality yao na Kutegemea Transition km game yetu dhidi ya Man u.
Ukiwa Emirates ,eneo la kiungo sio Mali yako
Zinny anaanza maana mpira muda mwingi utakuwa wetu