computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Aaron Arsenal last week I told you game vs Newcastle haitakuwa nyepesi kabisa ukakataa tuombe Mungu tupate positive results but najua unajionea hawa jamaa walivyochange Newcastle ya sasa sio kama ile uliyokuwa unaifikiria miaka ya zamani na siku wakianza kuweka mpunga inawezekana ikawa team ngumu zaidi kufungika tuendelee kusali tukiomba tupate positive results kwa gap la 10 points