Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Eddie Nketiah has scored 11 goals in his last 11 starts at the Emirates, scoring those goals from just 16 shots on target.
IMG_20230103_175312.jpg
 
Another thing Saliba is not good on quick long balls from opponents! He couldn't make offside against Manchester United by staying in a highline, the same as a reckless tackle versus Westham United and the same long ball from Brighton!

I've watched the Magpies playing style they use long balls when pressed to the centre and they switch plays too often to the wings (Almiron and Saint-Maxim).

Saliba must concentrate more on playing balls that trap players into an offside position.
Benchi World cup limemuharibia , nadhani atarudi sawa kuanzia Sasa,
 
Eddie Howe doesn’t like facing Arsenal.View attachment 2468019
Kipindi hicho Nyukesto ilikua tiamaji tiamaji, sasa hivi Newcastle imekamilika kila idara wapo kikazi zaidi ndio maana watu wenye uono wa mbali kama mimi tulishawaweka kwenye Title Contender mapema kabisa tokea mechi yao ya 3 kwenye Epl.

Saa 10:45 sio mbali, tulieni msubiri kipigo kwa mbwa koko kutoka kwa another side of United.
 
Gabriel Jesus, Bukayo Saka na William Saliba each have 4 yellow cards. Today's game against Newcastle is the 19th fixture mark.

We have Tottenham Hotspurs, and Manchester United next — If Saka and Saliba get booked today they'll miss the Spurs game. if they'll make it card-free after 90 mins then they'll be hoarded and start over in the round 2 fixtures — the first against Tottenham.

Saliba and Saka should avoid cards today.
Saliba ana nafasi kubwa ya kupata Yellow

Pia Arsenal wanataka kufikia mechi na Spurs , Mudrky awe tayari ndani ya Emirates

So Kama itatokea Saka atakosa mechi moja , Basi tutegemee kumuona Mudrky maana hata RW anacheza
 
Kipindi hicho Nyukesto ilikua tiamaji tiamaji, sasa hivi Newcastle imekamilika kila idara wapo kikazi zaidi ndio maana watu wenye uono wa mbali kama mimi tulishawaweka kwenye Title Contender mapema kabisa tokea mechi yao ya 3 kwenye Epl.

Saa 10:45 sio mbali, tulieni msubiri kipigo kwa mbwa koko kutoka kwa another side of United.
Endelea kupiga ramli

Baadae uje useme ohoo nilikuwa natania

Kwasasa Bora jehanum Lakini sio Emirates
 
Kipindi hicho Nyukesto ilikua tiamaji tiamaji, sasa hivi Newcastle imekamilika kila idara wapo kikazi zaidi ndio maana watu wenye uono wa mbali kama mimi tulishawaweka kwenye Title Contender mapema kabisa tokea mechi yao ya 3 kwenye Epl.

Saa 10:45 sio mbali, tulieni msubiri kipigo kwa mbwa koko kutoka kwa another side of United.
Eddie Howe. (Newcastle Coach)

(Kila Kocha Hafurahii Akutane Na Arsenal Ya Sasa Hivi, Angetamani Akutane Na Arsenal Ya Miaka Iliyopita, Kuna Timu Nyingi Bora Msimu Huu Ila Ikikutana Na Arsenal Wao Ndo Wanakutawala Kila Kitu Na Huwezi Kumlaumu Kocha Au Mchezaji Kisa Umepoteza Kwa Arsenal)

#Lipowazi
 
Hili jukwaa linachangamsha sana.
Hapo kwenye Arsenal NDOO umesahau ilitakiwa uanze na KO ndio italeta uhalisia, yaani ilitakiwa isomeke:

Arsenal KONDOO
Haaland KIATU

# Hatucheki na Kima
Flano endelea kutusumbua tu

Ila soon tutawapiga Gepu la point 20 ili ukauke kuja humu

| Bernardo Silva:

“The way they [Arsenal] play, they are connected to the game and they are always alive. That is very dangerous when your rival is playing that way.”
 
Huu ndo ukweli kabisaaa
Eddie Howe. (Newcastle Coach)

(Kila Kocha Hafurahii Akutane Na Arsenal Ya Sasa Hivi, Angetamani Akutane Na Arsenal Ya Miaka Iliyopita, Kuna Timu Nyingi Bora Msimu Huu Ila Ikikutana Na Arsenal Wao Ndo Wanakutawala Kila Kitu Na Huwezi Kumlaumu Kocha Au Mchezaji Kisa Umepoteza Kwa Arsenal)

#Lipowazi
 
Mechi km hizi tunamuhitaji zaidi Zinchenko sababu ya ufundi wake kuliko Tomiyasu, kwenye kudefend na duelling Tomi yupo haraka kuliko zinny, Tomi mechi za nyumbani anafanya vizuri Zaidi km ile ya Liverpool aliyomuweka Salah mfukoni, hata mechi hii naamini akipangwa anamuweka Almiron mfukoni, Lakini Tomi akiwa na mechi mbovu kama ile dhidi ya Leeds united anaenda kuwa pressing trigger. Newcastle wana high intense km Leeds united so wanaweza kucapitalize upande wa Tomi kuliko kwa Ben White. Zinny akianza upande wake unaweza kuwa njia sababu ya ubora wa Winger za Newcastle ila sababu tutawin possession haitakuwa shida sana na tukiwa na mpira lazima walowe.
 
Another thing Saliba is not good on quick long balls from opponents! He couldn't make offside against Manchester United by staying in a highline, the same as a reckless tackle versus Westham United and the same long ball from Brighton!

I've watched the Magpies playing style they use long balls when pressed to the centre and they switch plays too often to the wings (Almiron and Saint-Maxim).

Saliba must concentrate more on playing balls that trap players into an offside position.
Of course you're right
 
Newcastle wanapress 433 narrow block km liverpool ila FBs wao hawaendi kusaidia press wanabaki chini, wings zao zinapress CBs maanake FBs wetu wanabaki free na ndio maana naona Zinny ni vizuri aanze na naamini Eddie howe asipochange approach yake tukiwa na mpira Zinny atacheza sn kwenye midfield kuoverload, sasa Zinny ukimpa time on ball what next?? Newcastle kitachowabail out leo ni physicality yao na Kutegemea Transition km game yetu dhidi ya Man u.
 
Endelea kubwabwaja
Yaan Arse888 ina mashabiki wenye uelewa mduchu sana. Ukiwasikia wanavyojadili hapa ni kwamba hawatokaa wafungwe milele na timu yoyote ya dunia hii, Arteta ndio kocha dunia hii hakuna. Eti Pep alikua anamtegemea Arteta pale City hahaha.....

Hazijui hizi ng'ombe hata big 4 ni hati hati.
 
Back
Top Bottom