
USARA ZA GWIJI LA HIGHBURY
🤏

Kuna tetesi Ambazo ni Genuine kumuhusu Winger Wa Shaktar huko Ukrane Mykhailo Mudryk Nimeona binafsi kwanini Arsenal wana Pambana kumpata huyu
🤏

Sifa Moja kubwa Arteta anapenda kwa wachezaji wake ni Versatility (ukiraka) yani mchezaji aweze kuoperate kwenye nafasi tofauti tofauti kulingana mahitaji mifano ,White, Zinchenko, Partey, Jesus,Vieira, Martinell, Smith Rowe, nk
🤏

Hivyo basi Arteta anamuhitaji huyu sababu anaweza operate maeneo tofauti moja Mudryk ni both footed player nikimaanisha anaweza kutumia miguu yote kwa usahihi
🤏

Kwa Mazingira haya unaweza kumtumia LW na RW kulingana unachohitaji
🤏

Mudryk ana kasi ( Pace) hivyo anaweza kutupa technical quality endapo tutahitaji kushambulia kupitia pembeni na kutengeneza mazingira 1vs 1 Mudryk anaweza kubeat defender sababu kasi pia dribbling skills
🤏

Ukiacha versatility Mudryk sio winger wa kutengeneza nafasi tu anafunga Pia huyu hivyo basi kama atakuja bado atatusaidia kwenye attacking threats sababu team yetu haitegemei mtu mmoja kufunga bali System kiufungaji ukitaka kuamini nachozungumza angalia distribution ya ufungaji msimu huu wacheza 3 wana goal 7

Licha kwamba Arsenal hatuchezi Counter muda mrefu ila kuna muda tunacheza counter hapa ndipo tunakuja kumfaidi vizuri kama Atasajiliwa yangu ni hayo
Amigo adios hermanos
View attachment 2467611