Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal Contracts talks with both Saka and Saliba are progressing well

(@kayakaynak97 )

football.london/arsenal-fc/new…
IMG_20230102_152951.jpg
 
Felix wanataka aje acheze False 9, pia kuongeza depth ya kikosi

Mudrky anakuja kucheza LW , Martinell kazi anayo

Kuna Smith Rowe ameanza Full training tayari , huyu Kule LW ,AM kwa Øde anapaweza vzr tu,

Kuna Fabio Vieira huyu AM kwa Øde anapaweza vzr ,pale kwa Xhaka anacheza ,Kule RW kwa saka anapaweza pia

Nionavyo Usajili wa Mudrky na Kama atakuja Felix ,akifanya vzr ,summer tumchukue jumla ,then Tutafute DM , LCB Basi .

Tutakuwa na kikosi kipana katika Defense, Midfield na Attacking
Sioni mchezaji wa kumuweka Martinelli benchi. Mudrky amezoea kucheza farmers league ndio aje kumweka mzoefu wa kazi za epl? Mimi nategemea Mudrky akija ataanza kuwika baada ya misimu miwili.

Felix namuona mchezaji wa kawaida sana maana kama ligi soft ile ya Spain ameshindwa kuwika ndio ataweza huku epl kwa wavunja kuni? Anyway, ngoja tumuamini arteta na edu kwenye maamuzi yao.
 
Mimi namkubali Sana Smith Rowe na Martinell Kule LW , ila nilitenga muda kumfatilia Mudrky kuanzia mechi za UCL , yule mtoto kwenye Speed hawaachani Sana na Martinell ,

UCL group stage alikuwa kinara kwa Speed ,

Anajua kufunga pia ,

Najua Arteta anataka wacheze wote Mudrky & Martinell baadhi ya mechi

Martinell asimame CF
 
Hawapoi hawaboi ,sijui dili gani hawajatia mguu

Hendrick waliingilia Kati ,ikabid Madrid akaze

Enzo Fernandes Liverpool walijua wapo peke Yao, Sasa Hivi Liverpool kakimbia

Dili la Gapko nadhani wangepata taarifa mapema , Liverpool angekiona Cha Moto

Bellingham Bado wapo

Kwa Felix wapo
Wanakusanya wachezaji alafu wapo ktk relegation zone
 
| @sr_collings: “It is understood that Shakhtar are currently only in talks with Arsenal over Mudryk.

“Regular dialogue has now opened up between the two clubs and there is confidence an agreement can be found for Mudryk to secure the move he desires.” [@standardsport] #afc
 
Sioni mchezaji wa kumuweka Martinelli benchi. Mudrky amezoea kucheza farmers league ndio aje kumweka mzoefu wa kazi za epl? Mimi nategemea Mudrky akija ataanza kuwika baada ya misimu miwili.

Felix namuona mchezaji wa kawaida sana maana kama ligi soft ile ya Spain ameshindwa kuwika ndio ataweza huku epl kwa wavunja kuni? Anyway, ngoja tumuamini arteta na edu kwenye maamuzi yao.
Kukiwasha ama kutokukiwasha inategemea na vingi..

Mbona martinelli katokea ituano kipindi hicho inacheza sijui serie D, sijui C na akakiwasha vizuri.
Mudryk ni mchezaji mzuri, martineli itabidi ajichunge saana.
Joao kuna ishu ya pesa tu, ila mpira wa arsenal unaweza ukamrudisha joao yule wa benfica.
 
Yaani ile mechi ya OT imewapa kiburi Sana, japo ile mechi ilikuwa mwanzoni ,sikuondoa matarajio ya kugombea ubingwa

Niliangalia ile performance ,nikasema wengi hawatapona

Sasa pale Emirates Kuna utaratibu upo siku hizi, mashabiki Wana push Sana matokeo ,hivo uwe unajua hujui , Kuanzia Kwa xhaka Ode Martinell saka wanakuja Kama nyuki

Kwasasa ndio uwanja wenye atmosphere hatari ,

Liverpool Ni mbabe Sana ku press ,tulimsaka Lile goli la 3 ,ilipigwa piga nikupige had penalty ikatokea ,then tukatulia tukamaliza mechi

Sasa man u Kama pale OT alipata zari la Lokonga kupiga pass ovyo wakapiga kaunta , Emirates hiyo nafasi haipo , Kama unakumbuka tukiwa 1-1 tuliwasaka Sana wakarudi nyuma , kabla lokonga hajachoma ,Safari Partey Xhaka Zinny ndani
Ona bhangi hizi!
 
Kukiwasha ama kutokukiwasha inategemea na vingi..

Mbona martinelli katokea ituano kipindi hicho inacheza sijui serie D, sijui C na akakiwasha vizuri.
Mudryk ni mchezaji mzuri, martineli itabidi ajichunge saana.
Joao kuna ishu ya pesa tu, ila mpira wa arsenal unaweza ukamrudisha joao yule wa benfica.
Dah umeongea point Sana

Kuna kipind bhana hiyo LW alikuwa anacheza Auba ,sikuwahi kuamini martinel atakuja kuchukua hiyo namba

Nimemuangalia Mudrky ,uzuri anakuja mikononi mwa Arteta ,anajua kukaa na vijana na Ni mwalimu mzuri wa mawinga

Anzia Saka kutoka Beki ,kiungo ,LW no RW hatari Sana, njoo Martinell alikuwa sio huyu ,njoo Smith Rowe toka academy had anaenda loan Ni No.10 ,Ila chini ya Arteta ilionekana ujio wa Øde ,Basi hawataweza kucheza wote, but Arteta alitushangaza aliwatumia wote ,Smith Rowe akitokea LW na akafunga goli 10+

Di Zerbi anasema Mudrky anamtabiria makubwa mbeleni kuchukua hata balloon dor

Kwahiyo nakubaliana na wewe , kwanza Martinell anaweza kupelekwa CF na Mudrky LW
 
Ona bhangi hizi!
Shida yenu hii ,mnaangalia mpira matokeo tu,ile mechi ya OT mnaona kama mliikamata ,

Mpira una vitu vingi , ndio maana walioifatilia Arsenal last season 2nd round , hawapo surprised na anachofanya Sasa.

Totenham alianza anashinda kwa mpira wa ovyo Kama man u Sasa ,mkampa u Title contender ,Sasa Hivi yupo wapi?

Sasa huu ushindi wenu wa 1-0 mpira wakuzuia ,umewapa kibri mnasema mnautaka ubingwa ,

Nawakumbusha Spurs alikuwa zaidi ya nyie Mwanzo wa Ligi , pundits wote mkawapa uningwa
 
Dah umeongea point Sana

Kuna kipind bhana hiyo LW alikuwa anacheza Auba ,sikuwahi kuamini martinel atakuja kuchukua hiyo namba

Nimemuangalia Mudrky ,uzuri anakuja mikononi mwa Arteta ,anajua kukaa na vijana na Ni mwalimu mzuri wa mawinga

Anzia Saka kutoka Beki ,kiungo ,LW no RW hatari Sana, njoo Martinell alikuwa sio huyu ,njoo Smith Rowe toka academy had anaenda loan Ni No.10 ,Ila chini ya Arteta ilionekana ujio wa Øde ,Basi hawataweza kucheza wote, but Arteta alitushangaza aliwatumia wote ,Smith Rowe akitokea LW na akafunga goli 10+

Di Zerbi anasema Mudrky anamtabiria makubwa mbeleni kuchukua hata balloon dor

Kwahiyo nakubaliana na wewe , kwanza Martinell anaweza kupelekwa CF na Mudrky LW
Kipindi anaanza nilikuwa namuona martinelli kama CF zaidi.
Umenukumbush ishu y ode kumbe nae ligi ya spain ilimshinda kama Joao na kaja kuwaka EPL.
mpira una mambo mengi, joao uchawi hiyo pesa yake ila nina matumaini nae hata mudryk.. Si wachezaji ambao wakija wakifeli nitalalamika kwanini walisajiliwa. Wanaendana na soka la arteta
 
Yah hata Mimi nilimuona hivo na inasemekana ameicheza Sana hiyo nafasi ituano , akifunga Sana ,

Kuna kipind kile wapo kina Auba ,Arteta alisema anamuona Kama CF ,nikashangaa kamuweka zaidi Winga

HII ILIKUWA 2020 MARCH aliongea hivi

“[Aubameyang and Martinelli] are centre forwards but with the squad balance that we have at the moment, to play on those positions on the left we don’t have five players,” Arteta said, as quoted by the Metro.

“We are using one left-winger to play as a left-back [Saka] and he is not a left-back so we’re just trying to adapt to the situation that we have today, trying to create an amount of goal threat that can be successful for the team. that’s part of managing the players that we have.”

Wherever Martinelli’s best position is, Arsenal look to have a real talent on their hands and it will be exciting to see how he develops in the next few years.
 
Back
Top Bottom