Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wew boya unajua mpira gany! Nyie arsenal mmeshatufunga mzunguko wa kwanza au unota! Kima wew.
Kwani huu mzozo una muda basi, si ni baada ya siku 20 tu tutakuwa tumepata majibu. Wewe pamoja na samadi wenzako hatutawaona tena humu maana mtakuwa mnachungulia tu na vidole vitakuwa vizito kutype utumbo kama huu.
 
Kwani huu mzozo una muda basi, si ni baada ya siku 20 tu tutakuwa tumepata majibu. Wewe pamoja na samadi wenzako hatutawaona tena humu maana mtakuwa mnachungulia tu na vidole vitakuwa vizito kutype utumbo kama huu.
Kama ndio unavyodanganywa na hilo dishi lako lililoyumba, basi wew ni zaidi ya kituko na baada ya hizo siku 20,matokeo yake yatakufanya ubadilishe housing ya dishi lako.
 
[emoji599] Arsenal new bid is more than 50m euros guaranteed. Arsenal are moving fast even though Chelsea are trying for the player. The player wants to join Arsenal as a priority.

(@FabrizioRomano [emoji281])
 
[emoji991]| Smith Rowe training with #Arsenal squad at London Colney today #afc
IMG_20230102_205124.jpg
 
Kukiwasha ama kutokukiwasha inategemea na vingi..

Mbona martinelli katokea ituano kipindi hicho inacheza sijui serie D, sijui C na akakiwasha vizuri.
Mudryk ni mchezaji mzuri, martineli itabidi ajichunge saana.
Joao kuna ishu ya pesa tu, ila mpira wa arsenal unaweza ukamrudisha joao yule wa benfica.
Martinelli alikaa misimu mitatu nadhani kabla hajaanza kuwa kikosi cha kwanza. Kipaji sio kigezo kuwika kwenye ligi ndio maana yule dogo Marquinhos bado anakaa nje.

Mimi nitamuunga mkono Arteta na edu kwenye maamuzi yao ya kitaalamu. Akiwaleta wote ni jambo jema maana kikosi kitakuwa kimeongezeka ila sidhani kama watakuwa starters kwenye kikosi.
 
Why Arteta wants Mykhaylo Mudrk,

He is a dribbler who can use both feet to piss off the opponents

He is fast with and without the ball

He can score goals and assist as well with him having 10 goals and 8 assists in 18 games so far this season.

He can play both attacking wings left and right. so, he can cover Saka and Martinelli as well.

He is aggressive in terms of physic.

Lastly he is an Arsenal fan and like the project.
IMG-20230102-WA0291.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom