Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Man city tukimnyuka game moja...na tukamuacha point 12 nyuma hatupati kamwe
Yaani ile mechi ya OT imewapa kiburi Sana, japo ile mechi ilikuwa mwanzoni ,sikuondoa matarajio ya kugombea ubingwa

Niliangalia ile performance ,nikasema wengi hawatapona

Sasa pale Emirates Kuna utaratibu upo siku hizi, mashabiki Wana push Sana matokeo ,hivo uwe unajua hujui , Kuanzia Kwa xhaka Ode Martinell saka wanakuja Kama nyuki

Kwasasa ndio uwanja wenye atmosphere hatari ,

Liverpool Ni mbabe Sana ku press ,tulimsaka Lile goli la 3 ,ilipigwa piga nikupige had penalty ikatokea ,then tukatulia tukamaliza mechi

Sasa man u Kama pale OT alipata zari la Lokonga kupiga pass ovyo wakapiga kaunta , Emirates hiyo nafasi haipo , Kama unakumbuka tukiwa 1-1 tuliwasaka Sana wakarudi nyuma , kabla lokonga hajachoma ,Safari Partey Xhaka Zinny ndani
 
ChelKenge mtoe kabisa hata kugombea top 6,

Amebaki manyumbu Yana mdomo Sana, wanasema wanapigania ubingwa Sasa

Wewe timu inashinda ushindi ambao upo karibu na kufungwa au sare
Asepimbi unahangaika na Chelsea ambao wanatengeneza long term project winning team ya mafanikio baada ya miaka miwili au mitatu mbele ilihali wamechoka kubeba makombe ya EPL, FA, CARABAO, UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UEFA SUPER CUP & WORLD CLUB CHAMPIONS LEAGUE kinyemela kwa staili ya timua timua Makocha hovyo kisha baada ya miaka miwili tu wanahaha tena kutafuta Kocha mzuri na wachezaji wazuri.

Kiufupi tu sisi washabiki wa Chelsea tumesharidhia vizuri sana kuwa bado tupo tupo kipindi hiki tukiwatakia mafanikio mema wana-London wenzetu toka Nanjilinji.

Kiroho safi msituangushe bandugu kubeba EPL na UEFA champions league 2022/2023, kila la heri kwenu

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Man city tukimnyuka game moja...na tukamuacha point 12 nyuma hatupati kamwe
Man city amekuwa predictable ,Jana 2nd half wanapiga Kross tu KUMTAFUTA halland , pia Winga zao hasa Grealish amekuwa predictable kukabika ,

Ndio maana city Wana goli 44 Halland ana goli 21, wengine wote Wana goli 23 tu, Wakati huwa Wana mgawanyo wa wale Viungo na wingers wa goli 10 ,10 hivo utagundua mgawanyo wao wa magoli umepungua ,wote wanamuangalia halland

Arsenal tuna goli 40 au 41 nadhan ,kuanzia Saliba , Magalhaes ,xhaka ,Partey , saka , Martinell ,n.k wote Wana magoli
 
| Jamie Carragher on Arsenal and Mudryk:

“I think that'd be a really exciting signing. He looks like an outstanding player, certainly from what I've seen in the Champions League.” [Sky Sports] #afc
FB_IMG_1668668676600.jpg
 
Shakhtar Donetsk winger Mykhailo Mudryk, 21, has agreed personal terms on a five-year contract with Arsenal. (Sport Arena)

Arsenal may be able to sign Leicester City and Belgium midfielder Youri Tielemans, 25, with the Foxes making a £20m bid for a possible replacement in 22-year-old Azzedine Ounahi, who plays for Angers and Morocco. (Express)

Arsenal striker Folarin Balogun may leave the club, with AC Milan interested in signing the 21-year-old, who is on loan at Reims. (Calcio Mercato - in Italian)
 
Ila huyo waliyemtarget leicester ni fundi sana dogo,anajua
 
Back
Top Bottom