Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,551
- 10,798
Michezo kumi ijayo tukipata matokeo mazuri tutakuwa tayari kuanza kusherehekea ubingwa maana hapo tutakuwa tumemzidi city point 15.
Kila la kheri gunners.
Kila la kheri gunners.
joao felix ni mchezaji mzuri lkn sioni kama ni deal ambayo kweli arteta anaitolea sna macho..USAJILI WA JIA FELIX
Atletico Madrid wanataka package ya €21m (15 loan fee ,6 full salary)
Timu zinazomtaka Arsenal,man u na Chelsea wote wanaona Ni pesa kubwa ,wapo tayari kulipa nusu tu ya gharama
The Ornstein Article mentions that no team is willing to pay the full loan fee and all interested parties willing to pay less than half of the loan fee but will pay the salary. United and Chelsea want more traditional number 9 as per the article.
So let's see what happens.
ChelKenge mtoe kabisa hata kugombea top 6,
Amebaki manyumbu Yana mdomo Sana, wanasema wanapigania ubingwa Sasa
Wewe timu inashinda ushindi ambao upo karibu na kufungwa au sare

Sisi Man Utd tunasema kwa huohuo ushindi ambao upo karibu na kufungwa au sare ila tunakuhakikishia mpaka ligi inaisha lazima tuwe juu yenu kwa point kadhaa.Broo mkibahatika kubeba ndoo sisi huku tutateseka sana mtaani, na kwa jinsi mashabiki wa Arsenyani wanavyojua kutukana wakishakunywa Viroba sijui hali itakuaje.Acha
Acha ulozi Mzee maana huyo unaemuomba sisi twamuomba pia na Dua zetu zamfikia. Hichi kikombe hatujakinyanyua miaka mingi mno Mzee acha tukipate angalau msimu huu. Bado safari ni ndefu na tunaweza kukikosa ila ni Bora kukipata Ili nasi tuvimbe mtaani.
EPL ipi tena na wewe!Broo mkibahatika kubeba ndoo sisi huku tutateseka sana mtaani, na kwa jinsi mashabiki wa Arsenyani wanavyojua kutukana wakishakunywa Viroba sijui hali itakuaje.
Ila yote kwa yote pamoja na matokeo mazuri mnayoyapata kipindi hiki ila bado project yenu inahitaji miaka 5 mbele kuweza kubeba kombe kubwa kama Epl au Europa/Uefa.
#Kataa wahuni
@FabrizioRomano
on Mudryk-
Yan mkopo tu wa miez minne hadi mitano kias chote icho daah hawa Atletico vipi,USAJILI WA JIA FELIX
Atletico Madrid wanataka package ya €21m (15 loan fee ,6 full salary)
Timu zinazomtaka Arsenal,man u na Chelsea wote wanaona Ni pesa kubwa ,wapo tayari kulipa nusu tu ya gharama
The Ornstein Article mentions that no team is willing to pay the full loan fee and all interested parties willing to pay less than half of the loan fee but will pay the salary. United and Chelsea want more traditional number 9 as per the article.
So let's see what happens.
Hahahahah relax bro sisi ni wastaarabu. Kama ni kelele tutapiga kidogo tu siku ya kwanza na ya pili maana tutakuwa na vibe na wenge kutokana na kukikosa karibia 20 years. Yaani mtoto anazaliwa mpaka anaanza chuo na wengine wamekulana kimasikhara na kuzaa na wao, sisi Bado hatujachukua kikombe. Daah. Lazima pachimbike mzee, it's only natural. Ila wapinzani mtaishi Kwa amani tu baada ya siku mbiliBroo mkibahatika kubeba ndoo sisi huku tutateseka sana mtaani, na kwa jinsi mashabiki wa Arsenyani wanavyojua kutukana wakishakunywa Viroba sijui hali itakuaje.
Ila yote kwa yote pamoja na matokeo mazuri mnayoyapata kipindi hiki ila bado project yenu inahitaji miaka 5 mbele kuweza kubeba kombe kubwa kama Epl au Europa/Uefa.
#Kataa wahuni
Ni nyingi mno kwa loan ya 6 months,saraly sio shida ....tatizo utaonekana boya kutoa 21m + saraly of six months wakati Kwa hela hiyo ukiingia chimbo waweza ibuka na mchezaji mzuri tu,USAJILI WA JIA FELIX
Atletico Madrid wanataka package ya €21m (15 loan fee ,6 full salary)
Timu zinazomtaka Arsenal,man u na Chelsea wote wanaona Ni pesa kubwa ,wapo tayari kulipa nusu tu ya gharama
The Ornstein Article mentions that no team is willing to pay the full loan fee and all interested parties willing to pay less than half of the loan fee but will pay the salary. United and Chelsea want more traditional number 9 as per the article.
So let's see what happens.
Kumbe hiyo 21m imekuwa included na mshahara wake wa miezi 6 humo ndani,okNi nyingi mno kwa loan ya 6 months,saraly sio shida ....tatizo utaonekana boya kutoa 21m + saraly of six months wakati Kwa hela hiyo ukiingia chimbo waweza ibuka na mchezaji mzuri tu,
Cz liverpool wametoa 37m kwa Gapko na saraly yake ni normal tu na ni mchezaji mzuri.....
Tusubiri tuone,
Hahahahah relax bro sisi ni wastaarabu. Kama ni kelele tutapiga kidogo tu siku ya kwanza na ya pili maana tutakuwa na vibe na wenge kutokana na kukikosa karibia 20 years. Yaani mtoto anazaliwa mpaka anaanza chuo na wengine wamekulana kimasikhara na kuzaa na wao, sisi Bado hatujachukua kikombe. Daah. Lazima pachimbike mzee, it's only natural. Ila wapinzani mtaishi Kwa amani tu baada ya siku mbili

Hio amani labda tuipate kwa kutumia ncha ya upanga.
|| Arsenal have a secret agent in Thomas Partey, who has remained in constant contact with João Félix, in bringing the Portuguese Forward to the Carpet [Via - @TheAthleticFC].
|| Arsenal really like João Félix and some key, influential figures at the club think he’ll be a great addition, especially on loan [Via - @TheAthleticFC].Huyo Felix atakuja kucheza namba ya nani? Mimi ningekuwa mfanya maamuzi labda ningelipa salary pekee na si vinginevyo.USAJILI WA JIA FELIX
Atletico Madrid wanataka package ya €21m (15 loan fee ,6 full salary)
Timu zinazomtaka Arsenal,man u na Chelsea wote wanaona Ni pesa kubwa ,wapo tayari kulipa nusu tu ya gharama
The Ornstein Article mentions that no team is willing to pay the full loan fee and all interested parties willing to pay less than half of the loan fee but will pay the salary. United and Chelsea want more traditional number 9 as per the article.
So let's see what happens.
Lazima uwe na kikosi kipana na uwe na long plan na short plan...kunakipind SAF alimleta Henrik Larson January akamsaidia kutwaa EPL,kwaio kama wachezaji wanapatikana ambao wataingia kwenye mfumo au watasaidia kutwaa taji unachukua hata kwa mkopoHuyo Felix atakuja kucheza namba ya nani? Mimi ningekuwa mfanya maamuzi labda ningelipa salary pekee na si vinginevyo.
Wanaweka bei kubwa hivyo kwenye loan kwasababu wao walipigwa na benfica. Bora kununua yule dogo kiungo wa Aston villa kwa 35 kuliko kutoa 21 kwa Felix 6months loan.
Felix wanataka aje acheze False 9, pia kuongeza depth ya kikosiHuyo Felix atakuja kucheza namba ya nani? Mimi ningekuwa mfanya maamuzi labda ningelipa salary pekee na si vinginevyo.
Wanaweka bei kubwa hivyo kwenye loan kwasababu wao walipigwa na benfica. Bora kununua yule dogo kiungo wa Aston villa kwa 35 kuliko kutoa 21 kwa Felix 6months loan.
Hiyo Pesa €21m Timu zote hata wale wapigwaji wamegoma kutoa hiyo PesaHuyo Felix atakuja kucheza namba ya nani? Mimi ningekuwa mfanya maamuzi labda ningelipa salary pekee na si vinginevyo.
Wanaweka bei kubwa hivyo kwenye loan kwasababu wao walipigwa na benfica. Bora kununua yule dogo kiungo wa Aston villa kwa 35 kuliko kutoa 21 kwa Felix 6months loan.