Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uzuri hii miaka miwili Arteta na Edu hawasikilizi Mashabiki kabisa

Oooh tuna Leno Ramsdale wa nini na bei kubwa
Tunazidiwa na hata na Aston villa wanamnunua Buendia ,mara maddison mzuri tunasubiria mchezaji ambaye madrid hawauzi(Odegaard)
Zinchenko wa nini hana namba city mara Jesus alikuwa haanzishwi
Tangu summer Tielemans jamaa wame mute hawasikilizi kabisa

Mimi Arteta hata akisema anamnunua sancho au Pullisic nitaheshimu naona wanaangalia wanaoendana na mifumo yao

Yaani mpaka Ramsdale akazima data na kufunga social media accounts zake zote kisa matusi ya washabiki ,

Mara ooh Ben white hana namba Brighton 50 ya nini si bora wanunue Dunk ukisiliza mashabiki unapotea kabisa

We jamaa I guess you slept late bado zimo kichwani
 
Muachage kunywa pombe za kienyeji.
 
Arsenal fixtures 2023
IMG-20221231-WA0039.jpg
 
Happy New Year Gunners. Hongera sana kwetu Kwa kung'ang'ania 1st place. Tukomae tukamate kombe. Hopefully Arteta na team hawata toa boko kama last season tulipokosa top 4 kizembe kabisa. Naona saivi kikosi ni Cha kihuni zaidi hakina kurembaremba. nyau yoyote anayepita mbele yetu anachinjwa watu tunakunywa supu.
 
Back
Top Bottom