barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,809
Tomas partey ni muhimu sana... hana backup arsenal bahati mbaya...UNREAL:
Arsenal have 92.3% win rate in Premier League games Thomas Partey has played in this seasonView attachment 2464900
Tomas partey ni muhimu sana... hana backup arsenal bahati mbaya...UNREAL:
Arsenal have 92.3% win rate in Premier League games Thomas Partey has played in this seasonView attachment 2464900
Wengi wafatiliaji wa mpira wanasema pale ndio Project ya Arteta ilikuwa ime mature ikawa Sasa Ni kuweka quality playersHakuna mechi City alisumbuka kama ile.
Tulia wewe, point 3 kibindoni.Umeona moto mliopelekewa?? Muna baati tu arse8 ni timu ya marefa
Hadi muda huu arsenal tukilikosa kombe ndio bahati mbaya
Au tutaendelea kutoa burudani na ukusanyaji wa points 3 hadi mwishoni kwa ligi tukiwa pale juu
Alafu wataamua wenyewe NDOO wampe nani
I can't wait to see, arsenal vs arsenal
Kuna watu walitutabiria Arsenal haitaweza kumaliza Christmas ikiwa kileleni mwa msimamo, saivi wanashangaa ni Mwaka mpya 2023 still tunapigwa ubaridi wa kileleni tukiwa na points zetu 43.
Na Jana nilikuwa naangalia uchambuzi wa baada ya Michezo 16, Kila aliyekuwa anaongoza Ligue baada ya mechi 16 alikuwa ndiyo Bingwa wa huo Mwaka.
Sisi ni nani tusianze kufanya mazoezi ya kunyanyua ndoo hapo Mei, 2023 [emoji123]
COYGs [emoji123][emoji123][emoji123][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Happy New Year 2023 to all Gunners here [emoji120][emoji120][emoji120]
Baller[emoji459]Huyu Fundi Odegaard , Wenger anasema alimtaka akiwa na 15yrs
Klopp anasema pia alimtaka akiwa na 15yrs aliongea had na baba yake na familia yao Ni mashabiki wa Liverpool
Inaonekana Madrid aliwapiga bao wengi Sana ,akamchukua
Huyu dogo miaka hiyo Alitabiriwa makubwa ,
Imagine akiwa na 15yrs tu
Huyo Øde Ni fundi halafu mchawi kwenye tight space
Kuna faida moja Kama umegundua , Saka na Øde hawachezi mbali mbali ,Wana Sifa moja muhimu Sana ,wazuri kwenye tight space ,
Rejea goli hata na Liverpool la Martinell , Ni kazi ya Saka na Øde ,walipitisha Zile pass kwenye space kwa haraka Sana, had assist inapigwa katikati ya defender
DhahiriPartey hajifichi timu ikiwa na mpira anakua open kupokea mipira na agility inamsaidia kugeuka haraka kuangalia kila upande na kutoa pasi
Elneny anajificha humuoni akikimbilia kuomba pasi hajisumbui kusogea mbele sana, agility hakuna. Lokonga anatafuta mipira, ana agility ila experience inasababisha ashindwe jua muda gani asogee mbele na muda gani abaki kati kulinda.
Mimi nafikiri tunahitaji kiungo kuliko sehemu forwards. Guimaraes tungemchukua kipindi kile ingekua bonge la deal.
Непоганий був рік в футбольному плані ,дякую за підтримку вболівальникам ,сподіваюся в цьому році ви отримували задоволення від нашої команди.Aje tu hakuna namna......View attachment 2465348
It was a good year in terms of football, thank you for your support to the fans, I hope you enjoyed our team this year. I hope that next year will be a triumphant one for us, and I am not talking about football now...Непоганий був рік в футбольному плані ,дякую за підтримку вболівальникам ,сподіваюся в цьому році ви отримували задоволення від нашої команди.
Сподіваюся наступний рік буде для нас тріумфуючим ,і я не про футбол зараз…
[emoji1255][emoji3590]
Kaongea kwa hisia sana[emoji848]
Alimpa game ngumu sana Martinell janaHuyu mtoto tariq lamptey [emoji91]
Uzuri hii miaka miwili Arteta na Edu hawasikilizi Mashabiki kabisa
Oooh tuna Leno Ramsdale wa nini na bei kubwa
Tunazidiwa na hata na Aston villa wanamnunua Buendia ,mara maddison mzuri tunasubiria mchezaji ambaye madrid hawauzi(Odegaard)
Zinchenko wa nini hana namba city mara Jesus alikuwa haanzishwi
Tangu summer Tielemans jamaa wame mute hawasikilizi kabisa
Mimi Arteta hata akisema anamnunua sancho au Pullisic nitaheshimu naona wanaangalia wanaoendana na mifumo yao
Yaani mpaka Ramsdale akazima data na kufunga social media accounts zake zote kisa matusi ya washabiki[emoji28][emoji28][emoji28] ,
Mara ooh Ben white hana namba Brighton 50 ya nini si bora wanunue Dunk ukisiliza mashabiki unapotea kabisa