Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,497
- 2,219
Hawa BHA hawafai kabisa
Utoto na Kujiamini kupita kiasi imeigharimu timu pale... How come unajiona mtu wa mwisho then anafanya makosa kama yaleArteta mpige benchi Saliba hata game 1 kaanza ufala ufala wa kujiamini ana namba ya kudumu
Ale benchi kidogo huyu anachoma ni vile timu inapata matokeoUtoto na Kujiamini kupita kiasi imeigharimu timu pale... How come unajiona mtu wa mwisho then anafanya makosa kama yale
Huyu kutokucheza mwez mzima Kuna Kitu kimepungua ,Arteta Arteta Arteta Saliba akae benchi hata game 1 akili imrudie kaanza kujisahau
Saliba kabla ya world cup na after ni watu wawili tofautiHuyu kutokucheza mwez mzima Kuna Kitu kimepungua ,
2-4 vs. Brighton
3-1 vs. West Ham
0-2 vs. Wolves
0-1 vs. Chelsea
5-0 vs. Nottingham Forest
1-1 vs. Southampton
0-1 vs. Leeds
3-2 vs. Liverpool
3-1 vs. Tottenham
0-3 vs. Brentford
Ndio maana naamini Kroenke Ni mpuuzi, alitakiwa ampe Arteta pesa kubwa ,awe na backup kila namba ,Saliba karudi world cup alikuwa hachezi, alitakiwa atulie angalau mechi 2Saliba kabla ya world cup na after ni watu wawili tofauti
Wanaomjua Di zerbi ,Potter mtoto mdogo tuImagine De zerbi with elite players at his disposal, anakuabisha mchana kweupe. Chelsea ilibidi wamchukue huyu instead of Potter.
Jamaa ana balaa, Brighton inacheza km Arsenal / City.Wanaomjua Di zerbi ,Potter mtoto mdogo tu
City alikimbizwa pale Etihad, japo alishinda 3-1Jamaa ana balaa, Brighton inacheza km Arsenal / City.
Huna huruma kakaCan't wait Brighton dhidi ya Man u sijui itakuwa lini, I pray Mac Allister & Caicedo wawepo mzigoni.


