Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

It is important to mention that Arsenal have spoken to Jorge Mendes about Joao Felix but they are focused on Mudryk deal more. No official bid . Not advanced between Felix and Chelsea. It's a possibility for Arsenal,CFC or UTD.

(@FabrizioRomano )

youtube.com/watch?v=GqIqw_…
 
Man u, Chelsea wameharibu Sana soko

Mchezaji wa €40m wanamchukua kwa €100m
Mpira sasa hivi ni miongoni mwa biashara kubwa sana duniani.
Makampuni ya betting yanaingiza pesa ndefu kwa kutegemea mpira.
Zama zimeshabadilika, sasa nyinyi endeleeni na huo ubahili wenu wa kipindi cha wenger muone kama mtasajili mchezaji yoyote wa maana zaidi ya kutegemea wachezaji wa hisani kutoka Man City.
Kama hamna pesa ni bora muendelee kukuza makinda yenu tu ila sio kulialia.
 
Ukweli usemwe ,mmeharibu soko, matokeo yake timu nyingine Zina demand huge

Hivi kweli yule Anthony,Nunez,Lukazigo ni wachezaji wa /€100m?
 
| Michael Owen on Nketiah:

“When he gets in that position, this guy can finish. We’ve watched games today where it’s not the centre-forwards strength lets say, to be an absolute killer in front of goal. This lad does finish. He’s a born finisher.” [@premierleague via TBR]
 
Hifadhi maneno mkuu Una uhakika gani atakuja kushine Kwa hawa premier League bully defenders ambao sio km WA kutoka ligi ya Ukraine

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mchezaji wa uhakika na mchezaji wa media anaonekana mudryk ni mtu wa football huyo mtoto tunamsubir kwa ham sana aisee
 
Kwani comrade kipepe mlimnunua Kwa pesa ngapi hv ?tena ya mafungumafungu au pauni mil. 70+ n ndogo?
Waliomnunua Pepe walishatimuliwa Arsenal ,

Halafu Pepe Ni mchezaji ambaye hapo ChelKenge anaanza vzr na mtampigia makofi

Kilichomuondoa Arsenal Ni Standard anazozi set Kocha ,

Ukimbie Sana
Positional play uwe vzr

Sasa Pepe ana tofaut gani na Anthony wa man u au Ziyech hapo Ung'ombeni?
 
I think bid ya 2 itakuwa €50m + 20 or 25 add ons (€70 /75m package)

As reported by @SamJDean & others, Shakhtar have turned down Arsenal’s opening offer for Mykhailo Mudryk (≈€40m + €25m).

Talks continue.

@TheAthleticFC ️ #AFC
 
MKURUGENZI WA MICHEZO WA SHAKHTAR MWEZI ULIOPITA ALISEMA HIVI

"Ikiwa mtu anataka kumnunua Mudryk, lazima alipe pesa kubwa, kubwa na kubwa. Vinginevyo, rais wa klabu hatamuuza,”

Klabu zote lazima zimuheshimu rais, ziheshimu Shakhtar. Na, mwisho, zimuheshimu Mykhailo Mudryk, ambaye ni mmoja wa wachezaji bora niliowahi kuwaona. Ndiyo maana bei ni ya juu sana.

"Antony na Grealish ni wachezaji wenye bei ya zaidi ya euro milioni 100. Kwa maoni yangu, Mudryk ni mchezaji bora kuliko wao. Na kulikuwa na uhamisho wa Jadon Sancho kutoka Borussia Dortmund kwenda Manchester United. ...... Tunataka heshima tu. Soko huamua bei, sio mimi. Inaonyesha ni wachezaji gani wana thamani ya pesa kama hizo."
 
Yaani hapo kwa kifupi Kroenke na Arsenyani yake wameambiwa wawe na adabu na heshima kwa Mudryk, huyo ni mchezaji mwenye hadhi yake sio wale wachezaji wa mafungu mafungu mliozoea kununua.

"Arsenyani lazima imuheshimu rais, iiheshimu Shakhtar, Na mwisho imuheshimu Mykhailo Mudryk, ambaye ni mmoja wa wachezaji bora niliowahi kuwaona."

Hili ni tusi moja kubwa sana kutoka kwa Mkurugenzi wa Shakhtar.
 
Ukweli usemwe ,mmeharibu soko, matokeo yake timu nyingine Zina demand huge

Hivi kweli yule Anthony,Nunez,Lukazigo ni wachezaji wa /€100m?
Matajiri wakipenda bidhaa hua hawana uswahili wa kulialia wapunguziwe bei, ndio maana matajiri wengi hua tunapenda kununua bidhaa zetu kwenye supermarkets sio magengeni, tatizo ni nyinyi mliozoea kununua vitu vya mafungu gengeni mnapolazimisha kwenda supermarket halafu mnakuja kutupigia makelele humu kua sisi matajiri tunauziwa vitu bei ghali sana wakati sisi tunaona ni reasonable price.
Kila kitu kinaenda na standard yake, nyinyi Nyani bado hamjafikia level ya kununua mchezaji mwenye hadhi ya kuuzwa supermarket, katafuteni watoto kwenye Academy's muwalee, mkitaka wachezaji wa standard subirini kwanza Man City asajili kina Haaland wengine halafu nyinyi ndio mpewe kina Jesus ambao hawana tena namba kwenye kikosi cha kwanza.
 
Waliomnunua Pepe walishatimuliwa Arsenal ,

Halafu Pepe Ni mchezaji ambaye hapo ChelKenge anaanza vzr na mtampigia makofi

Kilichomuondoa Arsenal Ni Standard anazozi set Kocha ,

Ukimbie Sana
Positional play uwe vzr

Sasa Pepe ana tofaut gani na Anthony wa man u au Ziyech hapo Ung'ombeni?
Hawezi akaanza mkuu unaumwa kweli wewe
 
Matajiri wakipenda bidhaa hua hawana uswahili wa kulialia wapunguziwe bei, ndio maana matajiri wengi hua tunapenda kununua bidhaa zetu kwenye supermarkets sio magengeni, tatizo ni nyinyi mliozoea kununua vitu vya mafungu gengeni mnapolazimisha kwenda supermarket halafu mnakuja kutupigia makelele humu kua sisi matajiri tunauziwa vitu bei ghali sana wakati sisi tunaona ni reasonable price.
Kila kitu kinaenda na standard yake, nyinyi Nyani bado hamjafikia level ya kununua mchezaji mwenye hadhi ya kuuzwa supermarket, katafuteni watoto kwenye Academy's muwalee, mkitaka wachezaji wa standard subirini kwanza Man City asajili kina Haaland wengine halafu nyinyi ndio mpewe kina Jesus ambao hawana tena namba kwenye kikosi cha kwanza.
Sasa mbona mnapiga kelele kila Siku Grazzer out?

Zile tetes kuwa January hamna hela ,Baada ya matumiz mabovu summer ya €250m , na Sasa mna cash £24m ,hivo mtafanya sajili za mikopo .,hii habari ina Ukweli japo umeshaaminishwa Uongo.

Erik ten Hag is determined to add to his attack but #mufc declined to go for Cody Gakpo due to finances and the decision has now been made that only loans in January are affordable.

[@lauriewhitwell]-Tier 1
 
Back
Top Bottom