Scale
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 2,122
- 2,658
Cheltako unapapaswa ukiwa wapi?Tutolee upumbavu apa intagriti ya nyokoo
Maana si kwa hasira hizi
Cheltako unapapaswa ukiwa wapi?Tutolee upumbavu apa intagriti ya nyokoo
Ila jamaaa ni better finisher kuliko jesus,kwenye finishing tuHuu ndio ukweli wenyewe, kafung goli zuri, mimi bado sina imani nae.
Kumbe ni chelsea ndio maana ana msongo wa mawazo...Cheltako unapapaswa ukiwa wapi?
Maana si kwa hasira hizi
Ulichovuta usitudie tena...Skieni nyie kunguni wa arse8. Sisi tuna build timu yetu yani tunasuka kikosi cha kuja kuinyanyasa epl na uefa pamoja na mbanga zingine kwa misimu isiyopungua kumi. Yani tutahakikisha epl tunaikamata kwa misimu kumi halafu ndio tuwaachie nyie matakataka kama tunavyowapa eyataimu nao munashaini tu kwa sababu wanaume tuko chimbo tunajenga na kusuka kosi la dunia.
Bange nibangueSkieni nyie kunguni wa arse8. Sisi tuna build timu yetu yani tunasuka kikosi cha kuja kuinyanyasa epl na uefa pamoja na mbanga zingine kwa misimu isiyopungua kumi. Yani tutahakikisha epl tunaikamata kwa misimu kumi halafu ndio tuwaachie nyie matakataka kama tunavyowapa eyataimu nao munashaini tu kwa sababu wanaume tuko chimbo tunajenga na kusuka kosi la dunia.







tunamtaka yeyote yule yani mabingwa wa epl tunacheza uropa afu Cheltako anacheza uefa Hili huwa nawaambia jamaa zangu mtaani Nketia ni poacher anajua kukaa maeneo ya kufunga na ni Finisher mzuri pia kuliko Jesus.ila over all parfomance ndio inayomsumbua na consistency pia .Ila jamaaa ni better finisher kuliko jesus,kwenye finishing tu
Wanaoangalia mpira Sana ndio watakuelewa hapaHili huwa nawaambia jamaa zangu mtaani Nketia ni poacher anajua kukaa maeneo ya kufunga na ni Finisher mzuri pia kuliko Jesus.ila over all parfomance ndio inayomsumbua na consistency pia .





Anakuaje na consistency without game time? He needs minutes, Doubt him at your own riskHili huwa nawaambia jamaa zangu mtaani Nketia ni poacher anajua kukaa maeneo ya kufunga na ni Finisher mzuri pia kuliko Jesus.ila over all parfomance ndio inayomsumbua na consistency pia .
Nimeangalia ile turning wakati anafunga lile goli nikahitimisha rasmi tunamhitaji either kama starter au squad player.Anakuaje na consistency without game time? He needs minutes, Doubt him at your own risk
Hizi ndoto nyevu bado mnazo kumbeSkieni nyie kunguni wa arse8. Sisi tuna build timu yetu yani tunasuka kikosi cha kuja kuinyanyasa epl na uefa pamoja na mbanga zingine kwa misimu isiyopungua kumi. Yani tutahakikisha epl tunaikamata kwa misimu kumi halafu ndio tuwaachie nyie matakataka kama tunavyowapa eyataimu nao munashaini tu kwa sababu wanaume tuko chimbo tunajenga na kusuka kosi la dunia.



Physicality yake inaongezeka game after gameIla wakati dunia inamuimba partey dogo odegaard anakitu cha balaaa sana kwenye miguu na macho yake.
Ile pass ya goli la kwanza la saka mabeki walibaki wanashangaaa na wengine walishika vichwa kabisa.tactically na technically dogo ni gifted.
Kwa mbali captain ode ananikumbusha alexander hleb au nasri aliye form. Kitu pekee anatakiwa kuboresha ni physical game yake

] #ManCity are interested in Mykhaylo Mudryk.Najiuliza alikua anapiga shuti ama daaahIla wakati dunia inamuimba partey dogo odegaard anakitu cha balaaa sana kwenye miguu na macho yake.
Ile pass ya goli la kwanza la saka mabeki walibaki wanashangaaa na wengine walishika vichwa kabisa.tactically na technically dogo ni gifted.
Kwa mbali captain ode ananikumbusha alexander hleb au nasri aliye form. Kitu pekee anatakiwa kuboresha ni physical game yake
