Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Asetako kama mpo seriously na kombe la epl hvi ngoja tuone msije piga nyeto mbeleni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa jamaa licha ya kuongoza ligi pia wanaongoza kwa nicknames pale Epl.
Nimezihesabu kwa harakaharaka mpaka sasa hivi nimepata nicknames zao 17.



#Kataa wahuni
 
Mimi ndio maana nawakubali sana Newcastle
Newcastle ni vile sheria tu za mapato na manunuzi ndio zinawabana, wakishakaa sawa hawa waarabu wa Saudia watafanya kufuru zaidi ya Man Utd na Man City.



#Kataa wahuni
 
Nyie misukule, nawakumbusha tu. msimu huu nafasi yenu ni ya sita au ya saba. Hapo mlipo ni tembo juu ya mti.
 
Nyie misukule, nawakumbusha tu. msimu huu nafasi yenu ni ya sita au ya saba. Hapo mlipo ni tembo juu ya mti.
Picha kwa hisani ya watu wa Marekani.
tapatalk_1010475978_500x494.jpg
 
([emoji281]) Negotiations with Arsenal continued on Thursday and the north London club are optimistic that a deal with the Ukrainian side can eventually happen. (@TimesSport)
 
Arsenal are the only team with 4+ players on 20+ chances created from open play in the Premier League this season:

◉ 25 - Martin Ødegaard
◉ 25 - Bukayo Saka
◉ 23 - Gabriel Martinelli
◉ 22 - Gabriel Jesus
◉ 21 - Granit Xhaka

And they have five. [emoji44]
IMG_20221229_194411.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom