Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Matajiri wakipenda bidhaa hua hawana uswahili wa kulialia wapunguziwe bei, ndio maana matajiri wengi hua tunapenda kununua bidhaa zetu kwenye supermarkets sio magengeni, tatizo ni nyinyi mliozoea kununua vitu vya mafungu gengeni mnapolazimisha kwenda supermarket halafu mnakuja kutupigia makelele humu kua sisi matajiri tunauziwa vitu bei ghali sana wakati sisi tunaona ni reasonable price.
Kila kitu kinaenda na standard yake, nyinyi Nyani bado hamjafikia level ya kununua mchezaji mwenye hadhi ya kuuzwa supermarket, katafuteni watoto kwenye Academy's muwalee, mkitaka wachezaji wa standard subirini kwanza Man City asajili kina Haaland wengine halafu nyinyi ndio mpewe kina Jesus ambao hawana tena namba kwenye kikosi cha kwanza.
Subiri uone Sasa tunambeba kwa Bei chini ya hiyo €100m
 
Shakhtar Donetsk have confirmed to Arsenal that they will not accept their opening official bid for Mudryk, worth €40m + €20m #AFC

It has been turned down, as reported on Monday.

But Arsenal are still in contact with Shakhtar and player side, negotiations will continue.
 
Subiri uone Sasa tunambeba kwa Bei chini ya hiyo €100m
Mudryk ni mchezaji anaetegemewa pale Donetsk sio kama kina Jesus ambao baada ya ujio wa Halaand walikua hawana tena nafasi kwenye timu.
Kuanzia wiki ijayo Real Madrid, Psg na Man United wanatuma offer zao Shakhtar Donetsk tuone jinsi mtavyotupiwa usoni hizo £50k.
Niliwaambia mapema kama kweli mnamtaka Mudryk mmalizane mpema kabla ya fainali ya Wc, baada ya kumalizika kwa Wc nyinyi kima hamtakua na uwezo wa kumsajili Mudryk.
Ila Aaron Arsenal huyu Mudryk anaitesa sana nafsi yako, tokea zilivyoanza tetesi za Arsenal kumsajili nafsi yako haina amani kabisa mpaka utakapomuona anatua Emirates
 
Hivi unajua mchezaji mwenyewe hataki kusikia timu nyingine zaidi ya Arsenal? Hiki ndicho kinafanya twende nao mdogo mdogo

These Ukrainians think they are dealing with Manchester United Brev this is The Arsenal! We don’t pay over the board!!!
 
This is not a case of bid rejected, that's it.

Talks are still going on for Mudryk. Arsenal want to get it done early.

[Via @charles_watts]

Want to get it done early huku una mkono wa birika?

Mkurugenzi shikilia hapohapo hamna kulegeza kamba.

"Ikiwa mtu anataka kumnunua Mudryk, lazima alipe pesa kubwa, kubwa na kubwa. Vinginevyo rais wa klabu hatamuuza.

Klabu zote lazima zimuheshimu rais, ziiheshimu Shakhtar na mwisho zimuheshimu Mykhailo Mudryk, ambaye ni mmoja wa wachezaji bora niliowahi kuwaona, ndiyo maana bei ni ya juu sana."
 
NAONA LIGI INAANZA SASA

Screenshot_20221228_172825_Instagram.jpg
 
Arsenal remain in talks with Shakhtar Donetsk over forward Mykhailo Mudryk. Gap in valuations exist and structure of payment under discussion. Told there is "cautious optimism" a deal can get done. #AFC #Mudryk
 
Shakhtar Donetsk have confirmed to Arsenal that they will not accept their opening official bid for Mudryk, worth €40m + €20m #AFC

It has been turned down, as reported on Monday.

But Arsenal are still in contact with Shakhtar and player side, negotiations will continue.
Shaktar want €100m for Mudryk when their whole squad is worth €115m.

Just buy the club, move Mudryk over and sell the club again for €50m. Problem solved.

Au manasemaje wadau?
20221228_194559.jpg
 
Back
Top Bottom