Arsenal (The Gunners) | Special Thread

bora awe shoga kuliko afe.....it sucks vibaya mno i agree....usiku mwema wapendwa,leo ni zamu yangu nina majukumu ya kifamilia!!

Dalili mbaya hizo kwa Arsenal, they desperately need their lucky lady around!
 
AW nenda kanywe maji...El Clasico uku tamu sana so far.
 
...Acha tu kaka, huyu mgonjwa wetu mbishi kunywa dawa, akipata nafuu hafuati ushauri wa dakitari.
Uwezekanao wa kutokea hilo, au hata kupoteza game wala haitokuwa ajabu kwangu.
Nishakuwa sugu sasa.
 
Dalili mbaya hizo kwa Arsenal, they desperately need their lucky lady around!
Hehhe, ebanae hii mechi na jinsi magoli yanavyoingia watu wanaweza kufa kwa pressure maana hao yids wamepania kweli kweli.

Non news reserves wetu wanawapa kichapo CFC kwenye FA Youth Cup.
 
nawewe mkuu hiyo avatar yako ndo inatuletea mikosi hapa....weka avatar za AW akiwa anashangilia uone......:rant::rant:

Hahahaha! Napenda kumwona Wenger akiwa anaugulia na timu yake, hii avatar ndo yenyewe haswaa!!
 
...Acha tu kaka, huyu mgonjwa wetu mbishi kunywa dawa, akipata nafuu hafuati ushauri wa dakitari.
Uwezekanao wa kutokea hilo, au hata kupoteza game wala haitokuwa ajabu kwangu.
Nishakuwa sugu sasa.
Wakuu nyie mna moyo sana, mie mechi kama hii ningeshazima tv nakwenda library or something maana kila jamaa wakiattack roho inapanda kohoni.
 
...Shit!!! kwani hivi viatu vya Djourou vina tatizo gani?
Kudaaleki wallahi....

wachezaji wa team hii (Arsenal) utadhani wamekamia kuuza game!
 
T'ham wana press kinyama mazee.... wakitukosa katika hizi 45 Mins then tutawagonga......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…