Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Nadhani mnaona leo timu za ugenini kimezikuta nini mnafuata.View attachment 2459245
Acha uboya there is nothing such a formula
Nadhani mnaona leo timu za ugenini kimezikuta nini mnafuata.View attachment 2459245
Aisee kumbe hakuna aliyeshinda home?Nadhani mnaona leo timu za ugenini kimezikuta nini mnafuata.View attachment 2459245
Ni suala la muda tuNyundo ya kwanza iyo.....
Wanatafuta counter attackJamaa wamepaki basi mapema
Mnakalishwa, not munakalishwa. Acha kuwa kama shabiki la utopoloniNyie matakataka hii game ya leo munakalishwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kataa wahuniZimebaki dakika chache kabla ya Wagonga nyundo wa London kwenda kugongelea misumari mitatu ya utosi.
Leo ndio tunaanza ile kampeni yetu rasmi ya "Kataa wahuni" sasa hivi hamna kucheka na Nyani mpaka ligi inaisha. View attachment 2459227View attachment 2459228
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jina lao hiloooo!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hawa Arsenyani wana jina jingine halafu hata hawasemi?
Naona kampeni ya "Kataa Wahuni" imeanza vizuri sana, hizi Nyani ni kuziacha zipige vyenga zinavyotaka ila kila zikiangalia ubao zinauona unawang'ong'a.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kataa wahuni
Kwenu wapi?Mbande au...!?[emoji2]Game bado ipo kwetu
#COYG
Tumeelewana mzee wa press conference? Aaron ArsenalNaona kampeni ya "Kataa Wahuni" imeanza vizuri sana, hizi Nyani ni kiziacha zipige vyenga zinavyotaka ila kila zikiangalia ubao zinauona unawang'ong'a.
Wagonga nyundo bado wana misumari yao miwili pembeni.
#Kataa wahuni
Hizi Kima huu mzunguko wa pili hakuna rangi zitakazoacha kuona.Tumeelewana mzee wa press conference? Aaron Arsenal