computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Mzee wa Argentina [emoji1033] tumepata [emoji1626] medal ya world cup na hii tunaitaka sasa ya Premier league ipo njianiKenge kama nyie huwa siwajibu
Mzee wa Argentina [emoji1033] tumepata [emoji1626] medal ya world cup na hii tunaitaka sasa ya Premier league ipo njianiKenge kama nyie huwa siwajibu
Nimetengua kauli.Huyu nketia hakuna kitu kabisaa
Teta ball dawa ya mabasi na treniJamaa wamepaki basi mapema
Arsenal NDOOMzee wa Argentina [emoji1033] tumepata [emoji1626] medal ya world cup na hii tunaitaka sasa ya Premier league ipo njiani
Kipa wa West ham kafanya makosa yanayofanana na Ahmada kipa wa Azam alivyofanya juziHawa west ham ni misukule kabisa...hata ndanda asingepigwa comeback ya hivyo aaaaarrgh nilale sasa
Kumbe shabiki la arsenyetoTeta ball dawa ya mabasi na treni
Ila hawa watoto wanapiga mpira hadi wanakeraaaaTimu haijacheza zaidi ya mwezi mmoja, wachezaji wengi hawakuwa pamoja,wamecheza kwenye mazingira tofauti kwa kipindi chote, yaani ndio kwanza wanatafuta rhythm, lakini tacticos wanakwambia benchi limemuathiri flani[emoji38]
Punguzeni ilo gepu kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe shabiki la arsenyeto
Una Hali gani hukoNaona kampeni ya "Kataa Wahuni" imeanza vizuri sana, hizi Nyani ni kuziacha zipige vyenga zinavyotaka ila kila zikiangalia ubao zinauona unawang'ong'a.
Wagonga nyundo bado wana misumari yao miwili pembeni.
#Kataa wahuni
Cry more
Next Brighton , Newcastle ,C O Y G
Tunazidi songa mbele. Tena kwa STYLE.....
Wako hoi. Next? The Magpies. Should be a tasty one....
Well done lads....
ThanksNext Brighton , Newcastle ,
mudryk anavyoipenda Arsenal yuko tayari hata acheze bure.