Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Una uhakika mtatoboa mbele ya sisi watu wa unyumbuni kwa kumwaga mkwanjwa.
Hapo ni loan tu

Shida inakuja kwenye kumshawishi mchezaji kuhusu mazingira ya kucheza afurahie

Kumbuka alikuwa kwenye mpira makande mpira magimbi

Dunia ya mpira inaamini huyu Dogo alipotea njia kwenda kwa Simeone

Swali linakuja , Ataelekea man u hii ambayo haina tofauti kubwa kiuchezaji na Atletico ?
 
Tajiri muhaho wa ChelKenge kavamia dili la Felix ,baada ya kuonekana Atletico wapo tayari kumuachia kwa mkopo

Todd Boehly is believed to be willing to move fast for a deal, with Spanish sources expecting a loan offer plus option or obligation. (@mcgrathmike)
 
Atletico wamekubali kumtoa Felix kwa Mkopo Hadi mwisho wa msimu

Vita inaenda Sasa Kati ya man u na Arsenal

Atletico now open to loaning Felix till the end of the season

(@partidazocope tier1)
Vita gani sasa hio unayoizungumzia hapa wakati wewe mwenyewe ulisema kwa kinywa chako kua wakala wa Felix, Jorge Mendez hawezi kukubali tena kufanya biashara na Man Utd baada ya ule mgogoro wa Ronaldo?
 
Hizi kauli za kukata tamaa baada ya kuona uhalisia wa mambo ulivyo Arsenyani wenzako hawapendi kuzisikia, sasa hivi utaanza kuporomoshewa matusi na kuitwa mamluki.
Jukwaa hili kila kitu kinachoongelewa humu hata kama ni cha kufikirika unatakiwa ukisupport kwa nguvu zote, ndio maana mashabiki wa Arsenyani hua tunawaita misukule.
Hata ukiambiwa Arsenal 5 - 0 Newcastle unatakiwa useme Tawireeeee.
Mimi ni Arsenal ila jamaa huwa unanifurahisha sana hahaha!
 
ARSENAL BID FOR MUDRYK?

Ihor Tsyhanyk reporting that The Gunners have sent an official proposal for the player to Shakhtar albeit the fee is currently secret

However Tsyhanyk adds that the fee is more than adequate and a very interesting one

No news on Shakhtar reaction to bid
 
Vita gani sasa hio unayoizungumzia hapa wakati wewe mwenyewe ulisema kwa kinywa chako kua wakala wa Felix, Jorge Mendez hawezi kukubali tena kufanya biashara na Man Utd baada ya ule mgogoro wa Ronaldo?
Hizo Ni few factors zinazoweza kuzuia Dili, Lakini sio Sababu zenye nguvu Kama mchezaji akitaka kwenda sehemu anayotaka

Kuna Article nilisoma hiyo Ni moja ya Sababu ,nyingine Ni Felix kutaka kucheza mpira mzuri

Ila tayari Kuna habari kutoka Telegraph inasema Baada ya ATM kulegeza masharti tajiri wa Chelsea kavamia Dili
Tajiri muhaho kavamia dili la Felix

Todd Boehly is believed to be willing to move fast for a deal, with Spanish sources expecting a loan offer plus option or obligation. (@mcgrathmike)
Huyu jamaa Tajiri wa Chelsea Ni mwehu. ..,yaan kesho anaweza akamaliza biashara ,labda Felix akatae

Hii January kashatumia nadhan €130m inafika , kachukua nkuku 60 , Datro fofana 10 , Santos 20 , anamlizia Beki wa Monaco 40

Hapo summer katoka kutumia €300m

Maamuzi yanabaki kwa mchezaji sasa
 
Ile summer tuhesab ile hela imepotea. Sahiv tunahakikisha deal zote tunakamilisha mapema + Uwepo wa new recruitment team sidhan kama tunasajil tena kwa mihemko. Ndio maana
Badiashile usajil wake probably utakuwa umependekezwa na Lawrance Stewart ambae anajiunga kama Technical director mwez feb akiungana na Christopher Vivel ambae amejiunga recently

Nkunku ni kwa ajili ya summer,
 
Tajiri wenu yule kwake hasara roho sio pesa

Yaani hii January hamna hamna kashamwaga Kama €100m+
 
Arsenal are the main candidates for Felix along with United. Arteta feels Felix can elevate his side. Chelsea are in contention but further behind

(@MatteMoretto ) - TIER 1
 
Mudryk on Instagram.

IMG_20221226_212950.jpg
 
Flano

Newcastle wapo serious na hii league kuzd hata Manchester united
Mkuu unaiwazaga sana Manchester united sana mkuu naona toka enzi za kichapo cha goal 8 zile zilienda na akili zako zote mkuu.

Mkuu ichi kipigo kilishaenda na akili zako kabisa hivi mkuu Aaron Arsenal hii siku ulijisikia vipi maana naona imekuachia jeraha kubwa sana moyoni mkuu!
20220630_080647.jpg
 
Mkuu unaiwazaga sana Manchester united sana mkuu naona toka enzi za kichapo cha goal 8 zile zilienda na akili zako zote mkuu.

Mkuu ichi kipigo kilishaenda na akili zako kabisa hivi mkuu Aaron Arsenal hii siku ulijisikia vipi maana naona imekuachia jeraha kubwa sana moyoni mkuu!View attachment 2459163
Kwani uongo nimeongea hapo?

Newcastle wapo serious kuliko unyumbuni

GD 0
 
Back
Top Bottom