Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta kuhusu uhamisho January hii

“Tulijua umuhimu wa kupata wachezaji mapema msimu wa joto na ndivyo tunavyotaka kufanya Januari. Hatuhitaji mchezaji ilimradi tunahitaji mchezaji ambaye anaifanya timu kuwa bora.

IMG_20221214_141244.jpg
 
Newcastle huyu huyu?last season akatuvua nguo?inawezekana may be sababu Arsenal pia ipo juu kwa kiwango but Newcastle hii ambayo imepoteza one game na tena dk ya 98 vs Liverpool sio ya kuipuuzia hata kidogo
Hizi kauli za kukata tamaa baada ya kuona uhalisia wa mambo ulivyo Arsenyani wenzako hawapendi kuzisikia, sasa hivi utaanza kuporomoshewa matusi na kuitwa mamluki.
Jukwaa hili kila kitu kinachoongelewa humu hata kama ni cha kufikirika unatakiwa ukisupport kwa nguvu zote, ndio maana mashabiki wa Arsenyani hua tunawaita misukule.
Hata ukiambiwa Arsenal 5 - 0 Newcastle unatakiwa useme Tawireeeee.
 
Sijaipuuzia ,ila game zao naangalia , Arsenal unayoisema ilikuwa na Nuno tavares, Cedric ,beki holding mbele nketiah

Huyu huyu Newcastle pamoja anavyoshinda ,jitahid kufatilia na wanavyocheza angalia na Arsenal tunachezaje

Hawa hawa Newcastle walipelekewa moto na man u ,why sisi tushindwe na tutakuwa Emirates

Naipa Arsenal 70% za kushinda
 
Kihalisia Newcastle huwa Ni mteja wa Arsenal miaka nenda Rudi

Arsenal hii Nan haiogopi ,Tena Emirates pale ?

Yaani Nikae namuwaza Newcastle kweli?

Mpinzani wetu mkubwa Ni man city

Manyumbu ndio mpambane haswa kufika Top 4 , sijui mtamtoa Nani

Newcastle

Spurs

Hamna uwezo wakuwatoa hapo
FB_IMG_1671685702210.jpg
 
Hizi kauli za kukata tamaa baada ya kuona uhalisia wa mambo ulivyo Arsenyani wenzako hawapendi kuzisikia, sasa hivi utaanza kuporomoshewa matusi na kuitwa mamluki.
Jukwaa hili kila kitu kinachoongelewa humu hata kama ni cha kufikirika unatakiwa ukisupport kwa nguvu zote, ndio maana mashabiki wa Arsenyani hua tunawaita misukule.
Hata ukiambiwa Arsenal 5 - 0 Newcastle unatakiwa useme Tawireeeee.
Dah Mkuu
 
Sijaipuuzia ,ila game zao naangalia , Arsenal unayoisema ilikuwa na Nuno tavares, Cedric ,beki holding mbele nketiah

Huyu huyu Newcastle pamoja anavyoshinda ,jitahid kufatilia na wanavyocheza angalia na Arsenal tunachezaje

Hawa hawa Newcastle walipelekewa moto na man u ,why sisi tushindwe na tutakuwa Emirates

Naipa Arsenal 70% za kushinda
Let's wait and see bro but narudia kusema Newcastle ya sasa sio ya kubahatisha hata kidogo tena katika 3 games to come hyo ndio tough game kwetu
 
Dah unatakiwa umuwazie Man City tunamuachaje point za kutosha

Tuliambiwa Spurs Ni title contender ,yupo wapi Sasa hivi?

Leo clear points 13 tunamuacha

Sasa Newcastle huyu anakuja Emirates ,sio Arsenal ile aliikuta ya Cedric ,Tavares ,holding, nketiah CF , Partey injury

Najua atajifanya abishane kutaka kucheza mpira ,ndipo ataelewa vzr

Hivi Kuna timu iliyobeba points kwa hao big 6 Kama Brentford?

Arsenal tulimfanya Nini ?

Oya Tuangalie mancity tunatanua vipi gepu la points
 
Sijakataa kuwa Ni tough game ,kwani Kuna mechi gani epl Ni nyepesi

Mimi EPL hasa miaka hii ambayo Hadi wolves ana spend €150m

Forest €150m

Sijaona bado mechi nyepes aisee

Brentford katembeza vichapo kwa hao big 6 vizuri kabisa bila wasiwasi
 
Dah unatakiwa umuwazie Man City tunamuachaje point za kutosha

Tuliambiwa Spurs Ni title contender ,yupo wapi Sasa hivi?

Leo clear points 13 tunamuacha

Sasa Newcastle huyu anakuja Emirates ,sio Arsenal ile aliikuta ya Cedric ,Tavares ,holding, nketiah CF , Partey injury

Najua atajifanya abishane kutaka kucheza mpira ,ndipo ataelewa vzr

Hivi Kuna timu iliyobeba points kwa hao big 6 Kama Brentford?

Arsenal tulimfanya Nini ?

Oya Tuangalie mancity tunatanua vipi gepu la points
Sawa Mkuu tusubiri tuone game itakuwaje hyo siku
 
Hi Race tumebaki na Man u , kitakachobaki kukubaliana term za Mkopo na kumshawishi mchezaji

️The feeling is that the clubs (Arsenal,United) are waiting for Atletico Madrid to change the terms of the Felix deal as the Spanish club wants over 100m euros

(@FabrizioRomano )
 
Dah unatakiwa umuwazie Man City tunamuachaje point za kutosha

Tuliambiwa Spurs Ni title contender ,yupo wapi Sasa hivi?

Leo clear points 13 tunamuacha

Sasa Newcastle huyu anakuja Emirates ,sio Arsenal ile aliikuta ya Cedric ,Tavares ,holding, nketiah CF , Partey injury

Najua atajifanya abishane kutaka kucheza mpira ,ndipo ataelewa vzr

Hivi Kuna timu iliyobeba points kwa hao big 6 Kama Brentford?

Arsenal tulimfanya Nini ?

Oya Tuangalie mancity tunatanua vipi gepu la points
Kwa hiyo Arsenal imeimarika msimu huu, na Newcastle ipo kama msimu ulopita???
Arsenyege bhana!!!!!
 
Atletico wamekubali kumtoa Felix kwa Mkopo Hadi mwisho wa msimu

Vita inaenda Sasa Kati ya man u na Arsenal

Atletico now open to loaning Felix till the end of the season

(@partidazocope tier1)
 
Back
Top Bottom