Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Humu Jukwaa la Arsenal, mzee baba unategemea tumzungumzie Ten hag au Klopp ? Wanatuhusu humu?hakuna cha data wala Wi-fi
Mnatuletea mapicha ya watu wako kwenye dialogue halafu mnatudanganya kua wapo darasani wanakula pindi la Teta boy.
Huyo Mateka ashawageuza kua misukule yake, sasa hivi nyie ni mwendo wa kusifu na kuabudu tu.
"Wakati nina miaka 30 Pep Guardiola alinipigia simu wakati yupo Barcelona na Bayern Munich.Akaniuliza unaweza kuwa Msaidizi wangu nina mpango wa kufundisha soka nchini England" MIKEL ARTETA"Lakini nikamwambia mbona bado nacheza? Hapo ndo nilipogundua natakiwa kuwa serious sasa kuhusu maswala ya kufundisha soka
Hushagai hii influence ya PEP GUARDIOLA kwa Mikel Arteta


Arteta pia anasema wakati Pep Guardiola yupo Barcelona na Bayern Munich alikuwa anamtumia kumfanyia uchambuzi wa team za England pindi akikutana.Imagine that


Lakini kwenye Ile Interview na Carragher ,Arteta aliendelea kusema yeye na Pep Guardiola urafiki wao hasa ulianza wakati ana miaka 15 anachipukia kwenye kikosi Cha Barcelona.Na yeye akawa anatamani kuwa yeye.
Hawa Jamaa hawajakutana Barabarani Aiseeee




️"It’s true they had conversations with his agent, Jorge Mendes.
on Arsenal and Joao Felix
Joao Felix negotiations are at a close. It's between Arsenal and United
, Juventus are nervous that Arsenal will bid for Rabiot in January and an offer of 15m is something they cannot refuse as he will soon be a free agent.
