Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nizoee tu mkuu, mimi ndio nipo hivihivi tokea nipo ndani ya tumbo la bimkubwa.
Ukiona nakukera sana unani ignore tu kiroho safi.
Tokea kufutwa kwa jukwaa la Jokes nimeamua rasmi kutia kambi humu kama mbadala wa lile jukwaa la utani.
Sawa sawa....usiogope sana.
 
nizoee tu mkuu, mimi ndio nipo hivihivi tokea nipo ndani ya tumbo la bimkubwa.
Ukiona nakukera sana unani ignore tu kiroho safi.
Tokea kufutwa kwa jukwaa la Jokes nimeamua rasmi kutia kambi humu kama mbadala wa lile jukwaa la utani.
Dah mwamba unakeraaaaaila ukikosekana tunakumiss
 
Kwa mujibu wa Edu alisema Arsenal kugombea ubingwa malengo yalikuwa yawe msimu ujao

Arteta Jana kasema Tupo mbele ya Project

Mikel "Nimeweka mpango wa awamu tano tofauti kwa klabu, ambapo tunalinganisha na timu zingine, ratiba ya matukio, na kila kitu tunachopaswa kufikia katika kila awamu."

Carra "Uko mbele au nyuma?"

Mikel "Tuko mbele."
 
Arteta anaziandaa mbuzi zake kisaikolojia mapema kabisaaaa.
Mateka anajua kabisa msimu huu hakuna kombe lolote Arsenyani wanapata, hivyo sitarajii kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati kusikia Nyani yoyote imejinyonga kisa Arsenyani imeshindwa kuingia kwenye top 4 mwishoni mwa msimu.
 
Dah mwamba unakeraaaaaila ukikosekana tunakumiss
Mkuu mpira ni burudani na raha yake ni zile tambo, kejeli na dhihaka baina ya mashabiki wa timu moja na timu nyingine.
Ukitaka kufatilia kandanda kama vile unaangalia movie hautaona raha yake.
Sisi wenyewe kule Unyumbuni tunateseka ila ndio tumeamua kujitoa ufahamu ili tupate ile burudani halisi ya soccer.
 
Arteta anaziandaa mbuzi zake kisaikolojia mapema kabisaaaa.
Mateka anajua kabisa msimu huu hakuna kombe lolote Arsenyani wanapata, hivyo sitarajii kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati kusikia Nyani yoyote imejinyonga kisa Arsenyani imeshindwa kuingia kwenye top 4 mwishoni mwa msimu.
Tunawa zoom tu
IMG_20221213_230247.jpg
 
Kwa hiyo baadhi ya mechi Arteta alikua anamsaidia pep kushinda?
Unauliza makofi polisi

Kasikilize interview ya Cara na Arteta Sky sport kwenye MONDAY NIGHT FOOTBALL

| Mikel Arteta on Pep Guardiola: “We met when I was 15 years old. He was my idol.

“He was a Barcelona manager and Bayern Munich manager, he used to call me to ask me about English teams, and how would you play against that?” [@SkySportsPL] #afc
 
| Mikel Arteta says William Saliba will return to #Arsenal today, reports @sr_collings #afc

| Arteta on if Saliba will feature vs West Ham:

“Let’s see - that depends on how he comes back as well. We have the data of what he’s done in training, and in terms of the actual minutes he didn’t participate much.Let’s see, when he gets back we’ll make the decision. [@arsenal]
 
| Mikel Arteta on the January transfer window:

“We are going to be active, and active means always looking to strengthen the team. This squad still doesn't have the luxury of not maximizing every single window and we have to do that because it's really important.”

| “But then we want to get the right profile, the right player and a player that is really going to impact the team and take us to the next level.” #afc
 
Unaambiwa Mikel Arteta alikuwa anatafutwa na Pep Guardiola tangu kipindi Pep yupo Barca & Bayern kudiscuss tactics baadhi ya mechi. Arteta the master tactician.View attachment 2455093
Huko mnakoelekea sasa mashabiki wa Arsenyani muda sio mrefu itabidi tuanze kuwafunga kamba mikononi na miguuni.
Mwenzako Aaron Arsenal alituambia Kocha wa morocco Walid Regragui ni mwanafunzi wa Arteta halafu na wewe leo unakuja na hii hekaya ya Pep.
Kesho atakuja mwingine atudanganye kua Carlo Ancelotti, Zinedine Zidane, Vicent Del Bosque, Manuel Pellegrini, Lionel Scaloni, Stefano Pioli, Ronald Coeman, Luis Enrique, Luis Van Gaal pamoja na Julian Nagelsmann wote hao ni wanafunzi wa Michael Arteta.
Huko mnakoelekea nyie Nyani tutawanyang'anya hizo smart phone halafu tuwarudishe kwenye ile Hotel yenu ya Dodoma.
tapatalk_2029434656_512x512.jpg
 
Huko mnakoelekea sasa mashabiki wa Arsenyani muda sio mrefu itabidi tuanze kuwafunga kamba mikononi na miguuni.
Mwenzako Aaron Arsenal alituambia Kocha wa morocco Walid Regragui ni mwanafunzi wa Arteta halafu na wewe leo unakuja na hii hekaya ya Pep.
Kesho atakuja mwingine atudanganye kua Carlo Ancelotti, Zinedine Zidane, Vicent Del Bosque, Manuel Pellegrini, Lionel Scaloni, Stefano Pioli, Ronald Coeman, Luis Enrique, Luis Van Gaal pamoja na Julian Nagelsmann wote hao ni wanafunzi wa Michael Arteta.
Huko mnakoelekea nyie Nyani tutawanyang'anya hizo smart phone halafu tuwarudishe kwenye ile Hotel yenu ya Dodoma. View attachment 2455519
Sasa Flano si uwe unabisha kwa data na sio porojo

Interview ya video ipo kabisa
 
Kuna mda unakurupuka braza flano ila safi sisi mashabiki kindaki ndaki wa arsenal nikiwep mimi,, hatuna baya na wewe
 
Sasa Flano si uwe unabisha kwa data na sio porojo

Interview ya video ipo kabisa
hakuna cha data wala Wi-fi
Mnatuletea mapicha ya watu wako kwenye dialogue halafu mnatudanganya kua wapo darasani wanakula pindi la Teta boy.
Huyo Mateka ashawageuza kua misukule yake, sasa hivi nyie ni mwendo wa kusifu na kuabudu tu.
 
Back
Top Bottom