Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Halafu tunamchukulia poa Sana Nelson

Kuna mtu nilikuwa namuambia hata elneny amebadilika Sana toka aje Arteta, ndio sababu Arsenal haina haraka kusaka DM ,

Wachezaji wengi wame improve
jidanganyeni hivyohivyo na hizi mechi za kirafiki, dirisha dogo likifunguliwa Kroenke aone hamna haja yoyote ya kufanya usajili kipindi hiki.
Kimbembe kitakacho wakuta katikati ya mzunguko wa pili msianze kumtukana Arteta humu.
 
hapana aisee, mbona hata pre season tulishinda karibu mechi zote na usajiri ulifanyika
 
| Granit Xhaka, Oleksandr Zinchenko and Matt Turner at the #Arsenal vs AC Milan match today. #afc
IMG_20221213_182148.jpg
IMG_20221213_182217.jpg
 
hapana aisee, mbona hata pre season tulishinda karibu mechi zote na usajiri ulifanyika
Hongereni kwa ushindi mnono wa 2-1 dhidi Ac Milan.
Pre season iliyoisha ilikua ni ya dirisha kubwa hio lazima usajili ufanyike kwa timu yoyote hata iwe ni Ihefu Fc, ila hili dirisha dogo timu nyingi zinazomilikiwa na Mabahili hua wanapuuzia kufanya usajili.
 
Hapana ,Kama Kuna mapungufu lazima kocha aombe fungu la usajili ,

Pre season mara nyingi wanapewa nafasi wanaotoka majeruhi na makinda
 
Walisema hili kombe Dubai Cup lazima kuwe na penalties kudetermine mshindi kipointi... sijui imeishia wapi?
Sheria inasema ushindi wa dk 90 points 3 , penalty points 1

Mechi zote 2 tumeshinda dakika 90 na kwenye penalty huku kipa Hein akiibuka shujaa kwenye penalties zote za mechi 2

Ni dhahiri Sasa tumezalisha kipa mwingine mbabe wa penalties Baada ya Lucas Fabianski na Emi Martinez
 
Arteta -

"Lazima tupandishe viwango. Tulijadili mambo ambayo tunafanya vizuri, na sio bahati mbaya tumekuwa tukifanya vizuri lakini ikiwa tunataka kushindana kileleni, lazima tuboreshe baadhi ya mambo. ."

(Arsenal)

IMG_20221213_214638.jpg
 
Arteta on Arsenal plans for January:

“We are very active looking at the possibilities. If we can find the players that can strengthen the team we will try”,

#AFC

“Ben White? We love to have him here. We know the reasons he had to leave”.
 
Back
Top Bottom