Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Arsenal is the right project for Joao Felix,"Atleti watamruhusu aende kwa kile wanachohisi ni ofa nzuri"
mbele ya PSG na Man United je Arsenal mnaweza kutoa offer nzuri?
Hapo Atletico Madrid na wakala wa Joao Felix wanawatumia nyie Arsenyani kuongeza thamani ya mchezaji wao.
AsaniWali nyie wachezaji wenu ni wale wa mafungu, mnanunua fungu la wachezaji 5 halafu mnapewa Lukonga kama nyongeza.
Adidas kea msimu huu wamepuyanga kwenye Home kit ya Arsenal , kama ukiyoiweeka wakaitoa kweli basi watakuwa na Jezi kali mno msimu ujao.Hii Mimi naipenda Sana, ya home hata siitaki,
Naisubiri hii itakuwa Bora Sana kuliko ile ya tuliyovaa tulipobeba FA mwaka juziView attachment 2439548View attachment 2439549
Pia hiyo Jezi inakumbukumbu ya kula goli 8 dhidi ya Man U..Hii jezi aliyovaa, ni arsenal ya kina andrey arshavin... Kajamaa kalikuwa kanaujuwa saaana, ila ndio arsenal ile ilikuwa na matatizo mengi, quality players wachache, average wamejazana.
Pia hiyo Jezi inakumbukumbu ya kula goli 8 dhidi ya Man U..Hii jezi aliyovaa, ni arsenal ya kina andrey arshavin... Kajamaa kalikuwa kanaujuwa saaana, ila ndio arsenal ile ilikuwa na matatizo mengi, quality players wachache, average wamejazana.
Mpaka umekonti mara 2,2 😂🤣Pia hiyo Jezi inakumbukumbu ya kula goli 8 dhidi ya Man U..
Hii siku tulipata shida huku mtaaniPia hiyo Jezi inakumbukumbu ya kula goli 8 dhidi ya Man U..
Hiv nyie Ars88 mnafikiri kuchukua ligi ni kama kwenda chooni, choo kikikubana.Tukichua ligi pesa za usajili wa Mudryk zitarudi, kwa hiyo naona jamaa waweke mzigo.
We ndio wakuifundisha Arsenal namna ya kuchukua ligi? Arsenal imechukua ligi kabla mama ako na baba ako hawajuani, Arsenal imechukua ligi bila kufungwa, timu yako haiwezi kufanya hivyo cuz ni dhaifu.Hiv nyie Ars88 mnafikiri kuchukua ligi ni kama kwenda chooni, choo kikikubana.
I said it kuwa Felix ndio perfect fit ila "experts" mkanishambulia eti Felix hawezi lolote na kwamba Hana namba kwenye mfumo wa Arsenal!!Some who work in top-level recruitment, however, think Felix may be better suited to Arsenal, given the stylistic fit and their potential need for attacking reinforcements after Gabriel Jesus underwent knee surgery.
(@David_Ornstein )- TIER 1
Una maoni Gani baada ya experts wa kweli kwenye recruitment ya Arsenal kusema he's the perfect fit?anamtaka Joao Felix, aliambiwa anafiti kwenye mipango ya kocha?
Huo upuuzi wa kusajiri ilimradi mchezaji mzuri hata man u wameanza kuuacha ,
Chelsea wametumia £300m lakin kikos dhaifu ,sababu Kuna wachezaji mule walikuwa wanasajiri bila kujua wanacheza style gani .
Afadhali Will Jr umerudi, jukwaa lilikua limepoa sana hili, bora kuanzia sasa hivi litaanza kuchangamka.Tukichua ligi pesa za usajili wa Mudryk zitarudi, kwa hiyo naona jamaa waweke mzigo.
Tena walikushambulia kama vile fisi wameona mzoga, tatizo humu kumejaa misukule ya Arteta, ukianza kumtaja mchezaji unaetamani aje Arsenal kabla Arteta hajamtaja unaonekana ni msaliti/mamluki unaempangia Arteta kazi.I said it kuwa Felix ndio perfect fit ila "experts" mkanishambulia eti Felix hawezi lolote na kwamba Hana namba kwenye mfumo wa Arsenal!!
Next time mpunguze emotions na ujuaji.