Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Some Key points from Mikel Arteta's press conference (@kayakaynak97):

[emoji599] Jesus doesn't have a timescale just yet.
[emoji599] Arsenal are looking to be ACTIVE in the Jan market
[emoji599] Emile Smith Rowe is very to first-team football.
[emoji599] Martinelli could play as a CF.



IMG_20221208_214219.jpg
 
3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa Matusi na lugha chafu, mashabiki wao wengi ni wale watoto waliokosa malezi ya pande mbili, members wake wengi ni wale watoto waliolelewa na single mother bila kusahau pia wengi wao ni madereva wa bodaboda hali inayopelekea bomba la matusi muda wote kua wazi, tena zilivyo Nyani hua zinatukanana zenyewe kwa zenyewe.
Ulitakiwa kuwa shabiki wa man city maana hizi ndio tabia zao.
 
antony, raphinya, rodrigo

Hao wote kiuwezo hawamfikii martinel
Kwanza martinel ana nidhamu ya mpira
Anacheza kitimu
Anaweza kukaba
Anaweza kuzuia
High speed
Martinel ameonesha impact kubwa kuliko hao kwenye level za klabu

Matokeo haya Brazil wamestahili
Mtu isipomfaa akili, utamfaa ujinga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom