samora10
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 7,608
- 4,821
No Wilshere? Wenger ana njama zake za kutaka tufungwe. Mie siku nzima natangaza ubabe leo najua kati nina Wilshere na Song kaenda kukieka kitoto chake cha alicho ki-adopt?
Hakuna mechi inaitaji english blood ya Wilshere kama hii.
Anyway Asalam aleykum wakuu wenzangu wa gunners, tuko pamoja.
teh tehe tehe! mkuu si mnamwita proffesor wenger? have faith on him