Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

️Told it is "too early" to put a definitive timeframe on when he could be back. (@MarkyMBryans )
 
Jesus had a meniscus and partial collateral ligament injury. No rupture. Surgery went well.

(@simpraisa)
 
Atletico wametangaza wqnapokea Ofa kwa Joao Felix

Je anafaa?

Bei yake €70m-€100m

Atlético CEO Gil Marín: “João Felix has top level but because of his relationship with Simeone and game time… we feel that makes sense to consider potential bids to sell him”, tells TVE. #transfers

“I’d love for João to continue, but this is the current situation”. https://t.co/n14N2kPr1K

KSE have promised to provide £50m for January-23 window
 
Wachezaji w Arse88 wana nux. kila timu ya taifa yenye wachezaji wa Arse88 lazima watoke, kama hamamini leo England wanatolewa na senegal, Saka anawaponza wenzie.
WC ikishinda timu yenye mchezaj wa Arse88 wanaoanza kikosi ch kwanza,niitwe mbwa.
Jana ameingia tu Martinelly Brazil wakafungwa...
Leo kuna mmoja kaanza huku Switzeland ni mauaji..
 
Edo yeye anasemaje kwani?
Edo bhana alikuwa hamkubali Arteta mwanzoni,akiwa wasafi anasema aondoke tu, Kuna group tupo na kina madee ,Lile la Arsenal Tanzania, tulipambana Sana kuwaeleza process ya timu ,mwisho wa siku Edo akawa humuambii Kitu Tena kuhusu Arteta ,akajibatiza kabisa na cheo Cha RAIS WA ARSENAL TZ anasema atamrithisha mwanae hicho cheo .

Edo anasema anaamini katika mbinu za mwalimu na wachezaji waliopo .
 
Edo bhana alikuwa hamkubali Arteta mwanzoni,akiwa wasafi anasema aondoke tu, Kuna group tupo na kina madee ,Lile la Arsenal Tanzania, tulipambana Sana kuwaeleza process ya timu ,mwisho wa siku Edo akawa humuambii Kitu Tena kuhusu Arteta ,akajibatiza kabisa na cheo Cha RAIS WA ARSENAL TZ anasema atamrithisha mwanae hicho cheo .

Edo anasema anaamini katika mbinu za mwalimu na wachezaji waliopo .
Hata mimi nilikuwa naona Arteta anazingua, ila nimekuja kukubali maneno ya mentor wake Pep.
 
JEZI YA AWAY 2023/2024 INAVUTIA?

A concept of the Arsenal 2023/24 away kit following leaked information.View attachment 2437847View attachment 2437848View attachment 2437849
Nyie Arsenyani kuweni wabunifu japo kidogo, hio tabia ya kuigaiga haitawafikisha popote.
Yaani baada kuona Man United wanapendeza kwenye hio rangi ya jezi zao na nyie mmeamua kugelezea mulemule ili mradi mfanane na timu kubwa zaidi duniani.
Screenshot_20221207-092738.jpg
 
Mnarudi kulekule kwa zitto junior yeye alitamani tu kumuona Joao Felix anakuja Emirates kuziba pengo la Jesus ila akashambuliwa humu kama nyuki.
Hatujamkataa Felix , tulichompinga anaponda Sajiri za Arteta kumtaka Murdky na Danilo yule dogo wa Palmerias.

Kama mwalimu atamtaka Felix ,au hata Feisal Salumu aheshimiwe maana anajua atamtumia vipi

Felix Ni mchezaji mzuri na tunataman aje .
 
XHAKA AGOMEA MAPUMZIKO

Awali Mikel Arteta alisema wachezaji wanaotoka World cup atawapa mapumziko ya muda kabla hawajajiunga na timu Dubai .

Hali imekuwa tofauti kwa kiungo Granit Xhaka


Granit Xhaka anasema anasafiri kwa ndege hadi Dubai mara moja ili kujiunga tena na kambi ya Arsenal.

"Ligi Kuu(EPL) inanisubiri. Nilitaka kuwa hapa (WC) muda mrefu zaidi , lakini tulipoteza .
Nina furaha kurejea sasa na timu. Nina kitu cha kufanikisha huko (Arsenal)."
 
Back
Top Bottom