hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,317
- 26,726
Unatudanganya ,Toreira alienda mkopo Ni average player ,Partey kaja Arsenal kwa kukosa namba Ni UZUSHI ,msimu anaondoka alikuwa kacheza mechi 35 out of 38 , Partey anakuja Arsenal , Toreira anaenda LOAN , Hawakuwahi kucheza pamojaYes, mfumo ulibadilika hata Saul, na Torreira wenu alikosa namba kabisa sielewi mnachoshtuka ni kipi? Hata arsenal White amekosa namba RCB sababu Saliba kasajiliwa mbona inaeleweka tu.
Huwezi kusema huyu alikuwa anakosa namba , anaondoka Simeon anahuzunika
White hajakosa namba ,hapa pia unatupiga kamba
Arteta aliweka wazi Anasajiri versatile player ili awe na option nyingi , White hata kabla ya Saliba amecheza RB, ila ujio wa Saliba ,haukuwa mgeni kwa White kushift RB, angekosa namba usingemuona anacheza RB,
Hivo elewa Kuna Siku white tunaweza kumtumia CB, kumbuka White anacheza pia DM ,
Partey kilichomleta Arsenal Kwanza Ni mshabiki wa arsenal yeye na baba yake, pia maslahi aliahidiwa £200k kutoka 65k ATM
It was claimed that manager Diego Simeone was left ‘very angry’ that Arsenal ruined his midfield plans by signing Partey after he was convinced he would stay.
With the arrival of Lucas Torreira on loan from Arsenal, Simeone was ready to pair the two together only to lose his star man at the final hour.
He has now addressed Partey’s departure for the last time - and he heaped praise on the Ghanaian in his parting message.
@JacobsBen
Martinelli
Saliba
Xhaka
Saka
Partey
Turner
Tomiyasu