Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jesus kufanyiwa Surgery

Arsenal have been dealt a blow with Gabriel Jesus to undergo surgery on his World Cup knee injury and set for a spell for a number of months

(@mcgrathmike)


 
Return timeline after MCL surgery is typically 10-12 weeks. Ligament heals quite well due to robust blood supply.

Granit Xhaka was back in 70 days & would’ve been sooner if not for accompanying fracture as well.

True timeline will be wait & see.
 
Nasikia ni 3 months jamaa atakuwa out....ni kweli?japo sitaki iwe hivyo
 
Gunners Bado kuna mtu ana wasi wasi na Eddie ENKETTIAH kuziba pengo la Gabriel Jesus??.

Mie kusema Kweli sijui wasi wasi wenyewe unatoka Wapi

Lakini pengine ni kawaida ya Mashabiki.Msimu uliopita walinuna wakati Lacazette anawekwa nje anaanza Eddie Enkettiah

Eddie Enkettiah akafunga goli 5 kwenye Mechi 7 wakasahau na wakaanza kuimba jina lake.


Akaongozewa Mktaba wakafaurahi kinoma, Saivi anataka kupewa nafasi aonyeshe kwanini aliongzewa Mktaba.Wanataka mshambuliaji mpya

Mshambuliaji ambae anaweza kuchukua Muda kuzoea mazingira,mbinu na kuyaiva mahitaji.Lakini baadhi wanataka tu streka mpya tu.


Halafu kuna option za ESR kucheza False 9 au Gabi Martinelli kucheza kama 9 kama ikishindikana ambayo ni asilimia kidogo

Kwangu Kimbinu na Kiufundi Eddie Enkettiah ni perfect replacement ya Gabriel Jesus

Anaweza kuunganisha team vizuri (Link up play)


Ni focal point mzuri


Ni outlet mzuri tu


Ni mzuri Kwenye 1v 1


Ni mpambanaji mzuri tu


Ni mmaliziaji mzuri tu


Na simu anapiga vizuri tu


What else GABI JESUS anafanya EDDIE ENKETIAH hawezi?

Kitu Bora ni kusajili watu wa kuboresha Lile eneo la mbele.Tunahitaji upana zaidi hapo Lakini sio direct replacement ya Gabriel Jesus
 
Hayo ni maoni ya Oruma,sio mimi...mm nakuja nayo ya kwangu
 
Kakosea saana, binafsi sina IMANI na Nketiah.
Naona kaamua kuwaweka daraja moja jesus, ni dharau na matusi makubwa..

Eddie ana nafasi ya kusogea lakini si sasa umuweke daraja moja jesus.
 
Oruma nipo nae grupu moja ,tulijadili nae sana hiki Kitu
 
Kakosea saana, binafsi sina IMANI na Nketiah.
Naona kaamua kuwaweka daraja moja jesus, ni dharau na matusi makubwa..

Eddie ana nafasi ya kusogea lakini si sasa umuweke daraja moja jesus.
Kuna vitu Eddie anazidiwa na Jesus Hasa kwenye issue ya Workrate uwanjani

Jesus huwa dakika zote yupo mchezoni

Eddie namkubali kwenye

Movement


Pressing


Finishing yake sio nzuri Sana, inategemea na Siku hiyo,
 
Atletico wametangaza wqnapokea Ofa kwa Joao Felix

Je anafaa?

Bei yake €70m-€100m

Atlético CEO Gil Marín: “João Felix has top level but because of his relationship with Simeone and game time… we feel that makes sense to consider potential bids to sell him”, tells TVE.
#transfers

“I’d love for João to continue, but this is the current situation”. https://t.co/n14N2kPr1K
 
Felix ni mashine hasa,sio utani na naamini kwa style ya uchezaji wa arsenal endapo anapatikana tutatisha zaidi.....ana ufundi mwingi
 
Everyone at the club is supporting Gabby and will be working hard to get him back on the pitch as soon as possible. (Arsenal)
 
️Told it is "too early" to put a definitive timeframe on when he could be back. (@MarkyMBryans )
 
Jesus had a meniscus and partial collateral ligament injury. No rupture. Surgery went well.

(@simpraisa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…