Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakuna mahali nimesema alikua mchezaji Bora wa Serie D kwanini unanilisha maneno?

Jamani google basi walau upate taarifa, kwanini tubishane kitu ambacho kina facts? He was the best young players in Campeonato Paulista huko Brazil watu wanacheza ligi zaidi ya Moja msikariri EPL
HAKUNA ALIYEWAHI KUMJUA MARTINELL KASEMA LIJENDI WA BRAZIL

WEWE KUTOKA SUMBAWANGA ULIMJULIA WAPI?
 
[emoji599] Takehiro Tomiyasu STARTS for Japan as they face Croatia in their 2022 World Cup last-16 tie this afternoon. [emoji627]

Best of luck Tomi, the Arsenal family will be rooting for you! [emoji123]
 
"The people i spoke to in the summer for Danilo told me that Arsenal could possibly revisit in January. It depends on who Arsenal prioritizes in the window "

(@kayakaynak97 [emoji282] via @EGTVEgal )
 
[emoji779]️"Saka wants to stay. Arsenal want him to stay. In that regard deal is easy but agent could take it to wire (same agent as Balogun/Nketiah). Arsenal are quietly confident on extending all 3 deals (Saka,Saliba,Martinelli)"

(@kayakaynak97 [emoji282]via @EGTVEgal )
 
Ulidai Alikuwa hapati nafasi ,nimekuwekea alicheza mechi 35 laliga

Umebadili Tena Gia ,unadai aliondoka sababu ya Kukosa namba[emoji1787][emoji1787]

Huu Uongo kadanganye wanasiasa ,Partey aondoke ATM kwakukosa namba ,

Partey anaondoka , Someone hafurahii .
Starts zilikua ngapi hapo?! Maana appearances sio starts mkuu.

Then nilikua clear Toka mwanzo kuwa mjadala ulianzia hoja ya kuwa Felix hawezi kitu maana Atletico inapaki basi.

Ndio hoja ikawa mbona alibeba la Liga? Mkadai Suarez ndio alichukua sio Felix?

Nikaleta hoja kuwa Atleti haikua defensive ilikua Ina attack na formation ikabadilika from 442 to 3142 na nikasema walifunga magoli sawa na Madrid.

Cha kushangaza mkaleta stats za msimu huu, mara sijui wanapaki basi n.k ndani ya hoja ndio mkadai Atleti ilikua na Rodri/Partey ila wakapaki basi

Nikaeleza hata Partey mfumo ulipobadilika alikua sio STARTER maana hatukua defensive Tena so only Koke played as a DM

Kumbuka mzizi wote wa hoja ulikua kama Felix delivered the la Liga as a comparison to Murdyk's form.

Sasa mtu mnakuja na stats za 2018 mara 2022 mnakuja mnaenda nje ya mtiririko.

Let's argue kujifunza sio kutafuta shari
 
Sasa tuzo ya mchezaji Bora wa vijana watu wasimjue? How do you justify this.
Ulimjulia wapi ikiwa hata Ulaya alishafeli ,na Ni Arsenal tu walimfata

Wewe uliopo Sumbawanga ulimjua kuliko wabrazil wenyewe ? Acha ujuaji , usichanganye Siasa na mpira
Screenshot_20221205-165736~2.jpg
 
Starts zilikua ngapi hapo?! Maana appearances sio starts mkuu.

Then nilikua clear Toka mwanzo kuwa mjadala ulianzia hoja ya kuwa Felix hawezi kitu maana Atletico inapaki basi.

Ndio hoja ikawa mbona alibeba la Liga? Mkadai Suarez ndio alichukua sio Felix?

Nikaleta hoja kuwa Atleti haikua defensive ilikua Ina attack na formation ikabadilika from 442 to 3142 na nikasema walifunga magoli sawa na Madrid.

Cha kushangaza mkaleta stats za msimu huu, mara sijui wanapaki basi n.k ndani ya hoja ndio mkadai Atleti ilikua na Rodri/Partey ila wakapaki basi

Nikaeleza hata Partey mfumo ulipobadilika alikua sio STARTER maana hatukua defensive Tena so only Koke played as a DM

Kumbuka mzizi wote wa hoja ulikua kama Felix delivered the la Liga as a comparison to Murdyk's form.

Sasa mtu mnakuja na stats za 2018 mara 2022 mnakuja mnaenda nje ya mtiririko.

Let's argue kujifunza sio kutafuta shari
Umejibiwa ila unakaza fuvu
 
HUWEZI kudanganya ,humu sio Siasa za CHADEMA na ccm

Wabrazil wenyewe wanasema walikuwa hawamjui

Wewe upo Tandale kwa tumbo unasema ulikuwa unamjua View attachment 2436798
Sasa 2022 world cup selection ya Martinelli na usajili wake 3 years ago inahusiani Nini? Hvi kweli sasa hivi hakuna anayemjua??? Obviously its a dig.

Mtu hawezi kushinda best player wa vijana asijulikane huku Rodrygo ajulikane?

Kejeli za Mzee mmoja haiwezi kugeuzwa ndio conclusion ya nchi nzima.
 
Ulimjulia wapi ikiwa hata Ulaya alishafeli ,na Ni Arsenal tu walimfata

Wewe uliopo Sumbawanga ulimjua kuliko wabrazil wenyewe ? Acha ujuaji , usichanganye Siasa na mpiraView attachment 2436853
Sasa 2022 world cup selection ya Martinelli na usajili wake 3 years ago inahusiani Nini? Hvi kweli sasa hivi hakuna anayemjua??? Obviously its a dig.

Mtu hawezi kushinda best player wa vijana asijulikane huku Rodrygo ajulikane?

Kejeli za Mzee mmoja haiwezi kugeuzwa ndio conclusion ya nchi nzima.
 
Sasa 2022 world cup selection ya Martinelli na usajili wake 3 years ago inahusiani Nini? Hvi kweli sasa hivi hakuna anayemjua??? Obviously its a dig.

Mtu hawezi kushinda best player wa vijana asijulikane huku Rodrygo ajulikane?

Kejeli za Mzee mmoja haiwezi kugeuzwa ndio conclusion ya nchi nzima.
Wewe muongo muongo , hukuwahi kumjua , ndio maana hata Baada ya kufeli ulaya alirudi kwao , hakukaa Sana ofa ya arsenal ikaja

Wewe unadai ulimjua ,kutokea Sumbawanga?
 
Kwamba Partey alikuja sababu ya Kukosa namba ?

[emoji1787][emoji1787]
 
"Evan Ndicka used to share agents with Pepe and there are reliable reports linking him to Arsenal. He can play left back as well"
 
Acha mipasho Leta hoja wapi Arsenal walitamka malengo ilikuwa top 4

Mimi nitakuletea Ushahidi wa Edu ,malengo yalikuwa top 6

"But this club is about being the best, not even about being fourth. That history has to be there all the time, giving us the drive and mentality to achieve the biggest targets.

“If you don’t have that mentality, you cannot play for this club. The level of expectation always has to be the highest.”

Screenshot_20221205_173724.jpg

Hapo alikazia kuwa Hawa Aim top 4 pekee Bali zaidi ya hapo. Na Hiyo ilikua November mwaka Jana.

Hapa chini article ya Sky sports akieleza msimu huu kuwa Arsenal ni title contenders na sio top 4 pekee!!! Naweka hoi post Ili msimu ukiisha msije sema ligi haikuwa malengo yetu ya msimu huu

Screenshot_20221205_173205.jpg
 
Kwamba Partey alikuja sababu ya Kukosa namba ?

[emoji1787][emoji1787]
Yes, mfumo ulibadilika hata Saul, na Torreira wenu alikosa namba kabisa sielewi mnachoshtuka ni kipi? Hata arsenal White amekosa namba RCB sababu Saliba kasajiliwa mbona inaeleweka tu.
 
"Evan Ndicka used to share agents with Pepe and there are reliable reports linking him to Arsenal. He can play left back as well"
Sasa hiki ndio nilikua nasema, DEPTH kwenye Kila namba inahitajika sio eti combinations sijui priorities!!
 
LCB sio January ,huo mpango Ni Summer

Huwezi kuleta LCB Sasa hivi wakati priority Ni LW,CM

Wakati una option kibao eneo la beki
 
Yes, mfumo ulibadilika hata Saul, na Torreira wenu alikosa namba kabisa sielewi mnachoshtuka ni kipi? Hata arsenal White amekosa namba RCB sababu Saliba kasajiliwa mbona inaeleweka tu.
Unatudanganya ,Toreira alienda mkopo Ni average player ,Partey kaja Arsenal kwa kukosa namba Ni UZUSHI ,msimu anaondoka alikuwa kacheza mechi 35 out of 38 , Partey anakuja Arsenal , Toreira anaenda LOAN , Hawakuwahi kucheza pamoja

Huwezi kusema huyu alikuwa anakosa namba , anaondoka Simeon anahuzunika

White hajakosa namba ,hapa pia unatupiga kamba

Arteta aliweka wazi Anasajiri versatile player ili awe na option nyingi , White hata kabla ya Saliba amecheza RB, ila ujio wa Saliba ,haukuwa mgeni kwa White kushift RB, angekosa namba usingemuona anacheza RB,

Hivo elewa Kuna Siku white tunaweza kumtumia CB, kumbuka White anacheza pia DM ,

Partey kilichomleta Arsenal Kwanza Ni mshabiki wa arsenal yeye na baba yake, pia maslahi aliahidiwa £200k kutoka 65k ATM

It was claimed that manager Diego Simeone was left ‘very angry’ that Arsenal ruined his midfield plans by signing Partey after he was convinced he would stay.

With the arrival of Lucas Torreira on loan from Arsenal, Simeone was ready to pair the two together only to lose his star man at the final hour.

He has now addressed Partey’s departure for the last time - and he heaped praise on the Ghanaian in his parting message.
 
Hizi ng'ombe zinabishana, huyo Martinell mbona bado ni Average player!! mana mnavyomsifia kama ameshaprove chochote wakati mimavi mitupu, nyie Arse88 nani kawaroga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom