zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,180
- 39,641
Duh we jamaa hivi kwanini ni mbish I hivi? Hiyo hapo official page ya Wikipedia inasema alipewa tuzo ya mchezaji Bora was vijana na akawa kwenya kikosi Bora Cha msimu Sasa mtu huyo utasemaje sio maarufu? Yaani best player kwenye top flight asijulikane mpaka asubiri scouts was Arsenal? Ukiwa mbishi jitahidi kuwa ma facts otherwise watu makini watakuona hujitambui.Martinell hakuwahi kujulikana zaidi, acha kutudanganya hapa kacheza Seria D
kafeli Majaribio Man u, Barcelona ,n.k karudi Brazil ,hajulikani
Ofa ikaja ya Arsenal pekee
Wewe leo unatudanganya alikuwa anajulikana